Prof. Assad hajitambui au anatumika?

Tanzania ni masikini sana sana magu anawadanganya
 
Yy profesa ameifanyia kitu gani nchi hii zaidi ya makabrasha ya uongo na kweli?
 
Kwa takwimu zilizopo benki ya dunia, waliochangia pakubwa nchi kuingia uchumi wa kati walikuwa ni Mkapa na JK.
Magufuli kachangia kiduchu tu (9%) huku JK akiongoza kwa 44% akifuatiwa na Mkapa 31%.

Vijana muwe mnauliza kwanza muelimishwe - matango pori mnayopewa huko na kina Musiba ni sumu, inaua!
 
Peleka ujinga kwa popoma mwenzio assad!
Mi jitu kama ninyi ndio ilikaa na kukubaliana na kuwaletea madhira hapo zambia😡! Bure kabis ninyi mfyuuuuuu 😡!
 
Peleka ujinga kwa popoma mwenzio assad!
Mi jitu kama ninyi ndio ilikaa na kukubaliana na kuwaletea madhira hapo zambia
! Bure kabis ninyi mfyuuuuuu
!
Safari hii kazi mnayo vip ule mchakato wa kumuongezea muda!?? Mwambie gwaji aka..........
 
Peleka ujinga kwa popoma mwenzio assad!
Mi jitu kama ninyi ndio ilikaa na kukubaliana na kuwaletea madhira hapo zambia
! Bure kabis ninyi mfyuuuuuu
!
Uncircumicised hooligan from lake zone trying to defend rubbish!???
 
Peleka takwimu uchwara hizo kwa mapungu wenzio! JK alipandisha uchumi kwa kuruhuru mchwa wake wale, huku yeye akiruka kutoka nchi moja kwenda nyingine kupiga picha na PDD na kuhudhuria misiba😜😂🤣😂
Peleka takwimu uchwara hizo kwa mapungu wenzio! JK alipandisha uchumi kwa kuruhuru mchwa wake wale, huku yeye akiruka kutoka nchi moja kwenda nyingine kupiga picha na PDD na kuhudhuria misiba😜😂🤣😂!?
 
Kwa heshima na tahadhima niwapongeze wote mlioweza kusoma kichwa cha habari na kuendelea kusoma upupu mwingine uliofuata tofauti na hapo sina neno lingine....ALAMSIKI
 
Badala yake Assad eti anataka Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!
Usipotoshe mkuu.
Kuhusu Bandari ya Bagamoyo hakutoa uamuzi. Amesema hata yeye hajaona huo mkataba. Akashauri uwekwe hadharani watu wausome na kutoa maoni yao.
 
Usipotoshe mkuu.
Kuhusu Bandari ya Bagamoyo hakutoa uamuzi. Amesema hata yeye hajaona huo mkataba. Akashauri uwekwe hadharani watu wausome na kutoa maoni yao.
Sijapotosha chochote, ww naye ni mgumu kuelewa duh! Irudie tena utasikia, kama akili zimo, lakini kama hamazo utakuja tena kupinga mfyuuuuuu 😡!
 
Si ajabu umri wako ni mdogo kuliko yeye lakini umemtukana

ukosefu maadili ni changamoto
 
Wewe ndo kichaa hujui kitu..Profesa yupo sahihi Magufuli hakua na nia njema na nchi ndo maana akifilisi na muda si mrefu matokeo yataonekana.

Leo Mbowe ndo kamalizia msumari wa mwisho hakuna unafki hapa
 
Yani Mataga ni Kama kasuku,wanaimba walichokaririshwa hawana hints ndogo ndogo juu ya Katiba wala sheria
Mwongozo kutoka kwa slow slow, bsr, au misiba haupo tena! Sasa ni juhudi binafsi hakuna wa kuedit. Mpaka mwaka uishe watu watatamani michango yao humu bora isingerekosiwa
 
Sijapotosha chochote, ww naye ni mgumu kuelewa duh! Irudie tena utasikia, kama akili zimo, lakini kama hamazo utakuja tena kupinga mfyuuuuuu 😡!
Yaani umeskia Assad kasema:

".... Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!..."

Basi tuseme mwenzetu una sikio zuri sana. Maana angesema hivi kungekuwa na nyuzi kibao humu zikichanganua hii hoja. Ni wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…