Huwezi ukanyoosha IGA ya DP World kwa mikataba ya utekelezaji! IGA ni mkataba mama!

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,174
11,501
Nimemsikiliza sana Profesa Assad akipigia chapuo na kuhalalisha IGA ya DP World! IGA ni mkataba mama kama ilivyo katiba ya nchi kuwa ndio sheria mama juu ya sheria nyingine zinazoendesha mamlaka ya nchi.

IGA ya DP world kama ni kandamizi hakuna jinsi unaweza kuinyoosha kwa mikataba ya utekelezaji itakayosainiwa. Kinachomsumbua Prof. Assad ni udini!

Yeye anadhani rasilimali za nchi zikiuzwa kwa waarabu waislamu wenzie ndo yeye na familia yake watapona! Hapana! watakula msoto uleule kama watanzania wengine!

IGA ya DPW ndo tatizo na nilazima ifutiwe utekelezaji wake sasa hivi kabla hawa waarabu hawajaanza utekelezaji!

Vinginevyo wakishaanza utekelezaji watadai fidia tukisitisha huo mkataba!

Huyu mama kaliingiza taifa katika matatizo makubwa!
 
Prof. Assad kwa hili amejivua nguo.

Atuambie, hiyo mikataba aliyoita midogo itakuwa na maana gani, kama ile IGA tayari imeshapitishwa na bunge ikiwa na mapungufu yote yale, ikiwemo kutotaja muda wa ukomo wa mkataba, huku waarabu wakiwa huru kuanza shughuli zao tangu siku ile mkataba wa IGA uliposainiwa, October 2022?

Zipo kazi za kufanya mtu ukitumwa, lakini unapojua umetumwa kufanya kazi ngumu iliyowashinda mpaka wale waliokutuma, jiulize mara mbili wewe utaiweza? hasa ukizingatia fani yako haikuruhusu kuchambua chochote kwenye mkataba husika, usipojiuliza hayo maswali, jiandae kuaibika.
 
Kwaheli Mwalimu Nyerere BABA WATAIFA.

Ulituonya sana juu ya CCM.

Ukatuandikia KITABU kwaajili ya kusomwa na KIZAZi hata kizazi hao hao CCM wamekificha.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ukamaliza kwa ushairi kwa kusema

Ole wake Tanzania
Tusipoisaidia!
Niwezalo nimefanya
Kushauri na kuonya

Namlilia Jalia.
Atumulikie njia;
Tanzania ailinde
Waovu wasiivunde.

Nasi tumsaidie,
Yote tusimwachie!
Amina, tena Amina!
Amina, tena Amina!

BURIANI BABA WA TAIFA.
MIMI MJUKUU WAKO MTIIFU KABISA BADO NIPO.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Uwekezaji katika bandari hauhitaji IGA, vinginevyo watuonyeshe IGA iliyoingiwa ili kuwapa TICTS mkataba wa shughuli za makontena pale bandarini.

Utaona hao waarabu wanataka kufanya ulaghai wa kimkataba ili kutekeleza ajenda zao za kiuchumi, kidini, kijamii ndani ya Tanganyika kwa uhuru uliovuka mipaka, ndo maana wametumia nguvu ya pesa kuhonga baadhi ya wanasiasa na viongozi.​
 
Prof. Assad kwa hili amejivua nguo.

Atuambie, hiyo mikataba aliyoita midogo itakuwa na maana gani, kama ile IGA tayari imeshapitishwa na bunge ikiwa na mapungufu yote yale, ikiwemo kutotaja muda wa ukomo wa mkataba, huku waarabu wakiwa huru kuanza shughuli zao tangu siku ile mkataba wa IGA uliposainiwa, October 2022?

Zipo kazi za kufanya mtu ukitumwa, lakini unapojua umetumwa kufanya kazi ngumu iliyowashinda mpaka wale waliokutuma, jiulize mara mbili wewe utaiweza? hasa ukizingatia fani yako haikuruhusu kuchambua chochote kwenye mkataba husika, usipojiuliza hayo maswali, jiandae kuaibika.
Nilishawaambia hawa wenye sijida hata wasome vipi huwa ni TAKATAKA tu
 
Huyu mwenzie hana habari ananenepa tu wenzie tunslia!!
 
Attachments

  • Screenshot_20230809_082811_Gallery.jpg
    Screenshot_20230809_082811_Gallery.jpg
    117.6 KB · Views: 1
Assad nilikuheshimu kama one of best professional person in country, kwani ilikua lazima uchangie?? Acha mzee wangu kujiabisha, wenye mkataba wasikualibie jina lako zuri hapa TZ, hivi wewe usie Mwanasheria tuseme hayo? Maanake wale wote walioupinga na elimu yao ye sheria umewazidi? Usiharibu sifa yako baba🙏🙏
 
Back
Top Bottom