Prof. Assad hajitambui au anatumika?

[emoji23][emoji23] ....
Wewe ni hero au hereon??[emoji28][emoji28]
 
Kuandika kwa mpangilio kwenyewe haujui😀😀😀😀😀

Ni kama mhanga hivi wa report😀😀

Maana sio kwa complaining hiyo.

Anyway acha dawa ifike mahali pake.
Mhanga!? Mimi mhanga!? We nae akili finyu sana!
 
Mhanga!? Mimi mhanga!? We nae akili finyu sana!

Sasa nani hana akili kati ya mm na wewe😂😂😂😂😂😂

Mapomole wengine sio hata wa kuangaika nao😂😂😂😂
 
Usinitolee povu, siyo mimi niliyeipandisha kwa vigezo Tz mpaka uchumi wa kati chini, ni wenye mamlaka hayo! Kama unsng'aka, kawang'akie wao😂🤣😂😂! Moto wa Magu haukuwa wa kitoto etiii😜!
 
Pole sana mnyonge. Nchi hii bado kuna wajinga sana. Hata akitokea mtu akawapa ma... Vi akawambia hiki ni chakula, bado kuna watu wataamini ni chakula na watakula.
Huyo shujaa wa zamani bado unamuwaza tu? Ashakufa hayupo tena.
Kwahiyo waliposema ukiwa na cherehani mbili ni kiwanda na ww ulikubali?
🔫💉
Usinitolee povu, siyo mimi niliyeipandisha kwa vigezo Tz mpaka uchumi wa kati chini, ni wenye mamlaka hayo! Kama unsng'aka, kawang'akie wao😂🤣😂😂! Moto wa Magu haukuwa wa kitoto etiii😜!
 
Wewe binadsi huo uchumi wa kati au katikati umekusaidia nini?
Mshahara wako umepanda?
Biashara na mtaji wako vimeomgezeka?
 
Mkuu it seems aliyoongea Prof Asaad yamekuchoma sana pole ndio ukweli wenyewe huo ukweli mtupu. Nchi ilikuwa inaendeshwa na Wajinga Ukiwakosoa Wanakupoteza Damn it.
 
You are a Useless fool!
 
unabahati sana signature yako inakuilinda upumzike kwa amani.By the way andikawosia
 
Wewe binadsi huo uchumi wa kati au katikati umekusaidia nini?
Mshahara wako umepanda?
Biashara na mtaji wako vimeomgezeka?
Upeo wako upo duni sana aisee!
Nchi ipo uchumi wa kati, swala la ww kuwepo ktk uchumi huo ni juhudi zako binafsi, utawalaumu wasiolaumiwa buree😜!
 
Huyu mzee angekua nuclear scientist sijui ingekuwaje maana hapo ni Prof wa kufunga yale wanaita makabati taabu tunayoipata??
 
We kweli ndezi,vumilieni tu,maana ndivyo haki na ukweli ulivyo.
 
Profesa wengi wa Tanzania wamekariri tu .Hakiandika kipepa akaitwa Professor anajifanya anajua.Mwambie huyo kama ana project iliyoajili vijana hata wawili.Ni mganga njaa tu.
 
Mtatapatapa sana mwaka huu.Mlifikiri nchi ni yenu wenyewe baada yakufunga wengine midomo wasionge sasa hivi yesu wenu hayupo mnalalama.Una akili gani zakumzidi Asaid wewe.Hao ndio wazalendo na wanaotumia vichwa na taaluma zao vizuri bila unafiki sio wewe uliyekabidhi akili zako kwa mtu akusaidie kufikiri na kuamua.
 
Asad yupo sahihi sana sana sana Ila kwa vilaza na wapumbavu hata iishe miaka mia moja hawata elewa kitu !!?jpm alitaka kuonekana yeye ni Kiongozi kuzidi watangulizi wake akazima vyanzo vya taarifa za seikali yake akaache vile vinavyomtukuza kua yeyye ndio kila kitu akafikia mahali akaitwa Mungu !??? Sisi wenye akili tulijua kinachoendelea tukajiuliza kwann nguvu kubwa kiasi kile ilitumika kupambana na wapinzani ambao kikatiba wapo kihalali!?? Kwann Rais anapambana na media!?? Tulijua kua alikua anafucha udhaifu tuu!!?? Hiyo ndio saikolojia rahisi !!! Hata shuleni ukiona mwalim ni mkali kuliko kiasi ujue anaficha kitu fulani !!! Either hajui kufundisha hivyo anatumia ukali kupita kiasi asiulizwe maswali au ana shida nyingine!?? Huyo Asad unaesema anatumija alikua ni CAG proffessional kitaaluma ana ushahid anayoyasema na ni utaalam nasio ukada wa ccm kama mlivyo nyie !!! Mfano Asad anasema aliomba apatiwe risiti na mchakato wa kununua ndege ili atoe ushauri wa kitaalamu ( ambalo ni jukumu lake kisheria ) lakin rais alimnyima!!!! Sasa hapo nani anamakosa!?? Watanzania tuamke jamani tuache ujinga kudhani JPM alijua Mungu !!! Tunatakiwa kujenga Taasisi imara na sio Mtu imara mtu anakuja na atapita Taasisi itadumu
 
Zamani nilikuwa najua professor ni mtu mwenye akilin sana kumbe akili yangu ya ujesriamali inamzidi hawa watu

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…