Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

Ukweli mchungu bunge la ndugai ni dhaifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kazi rahisi kumyofoa spika kuliko CAG ,na kwa maslahi mapana ya nchi kuvunja bunge ni gharama wakati uchaguzi mkuu ni mwakani tu
Na kwa taarifa yako CAG (ASSAD) mwenyewe atatangaza kujiuzuru sio muda mrefu!
 
Ulikuepo? Au unafuata mkumbo wa Mzee wa Bakora, Kaomba mahojiano yake Yawekwe wazi mbona wanaogopa.
 
Spika anahitaji msamaha toka kwa asaad au anataka CAG mngine?
 
Ulianza vizuri umekuja haribu mwisho ni.
Chunguza vizuri hii issure ilianzia wapi? Utajaona anahusikaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG alisema hansad zake ziwekwe hadharani ili kila Mwenye akili timamu ajue amehojiwa nini na amejibu nini. Sasa kwa muktadha huo huwezi sema alirudia kauli iyo iyo. Kuna kitu tunafichwa na kamati hapa.
Achana na hao watetezi wa ujinga. Kila mtu ana right to say whatever he/wantas ilimradi isivunje sheria za nchi/katiba. Assad nae ni raia kama wengine. Ameona bunge ni dhaifu halishughulikii issues zilizoibuliwa.

Sasa hapo amevunja sheria ipi ya mother land. Kama sio dhaifu kwanini wanajihangaisha nae?

This term Tz inakwenda kusikojulikana. Ushamba na ulimbukeni ni kitu mbaya sana hasa ukichanganyika na roho ya kimasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lazima atumikie viwili hakuna namna
 

Umejiona mchambuzi kweli kumbe umeongozwa na mihemko
 
Selikali yako ya kijinga mambo mnayoyafanya unadhani nani ataiheshimu serikali yaan wabunge wote wa ccm ni vichwa maji wanapitisha kila linaloletwa hata kutoka juu...hivi unadhani kwa tabia hio mnaachwaje kuonekana mafedhuli..hivi ni kweli kua ccm wote wanafikiri sawa? Iweje sasa maamuzi yawe yanafanana kila kikao? Potelea mbali prof sio level yenu fanyeni wenyewe sio lazima afanye kazi na CCM
 
Duh hivi wewe mtanzania kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bila shaka nadhan unafikir kwa kutumia makalio yako..kama unapigwa na mkeo nikwambia "Wewe ni dhaifu kwa mkeo" ..shida ipo wapi?
 
Ndio wajifunze kama awapendi watu walio wakweli siku zingine wasiteue wacha mungu, hao majamaa awajui kuongopa ni dhambi kwao.
 
Hivi takataka hizi mnazitoa wapi? Bunge ni serikali?
 
He is professional sio wewe kanjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…