Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

We mgogo tulia!
 
Siamini Hii kitu.... Lazima atakuwa ametoa Baraka zake. Kwa jinsi ilivyo sasa hakuna mtu mwenye ubavu wa kufanya haya ya Ndugai bila Baraka nyuma yake. Hata press release ya Msigwa inaidai kuwa Kurugenzi ya Mawasiliano imesikitishwa.... Siyo Ofisi ya Rais au Rais mwenyewe. Sasa what is Kurugenzi ya Mawasiliano..!!?
 
Sikiliza Dogo kama hujui siasa polesana, hakuna maamuzi yoyote yanaweza kufikiwa bungeni bila Rais kufahamu usijifanye hakujua, naona unatetea upande wa Utawala. Huu mchezo ndo uko robo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shame on you!!
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakupimwa wewe sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama limechafuliwa si watumie OMO kujisafisha.
 
Walitukuta watatuacha ila wakifanya mambo ya hovyo hatuta nyamaza
 
Kwanza jua kutofautisha serikali na bunge
Hili bunge ni la kiboya na wala usilipe huo umaarufu..hata mtoto anaona udhaifu wa yule mgogo mpuuzi na kile kibibi kigagula tulia tuli..
 
Sio siri kuwa Magufuli ni Rais asiyependa Watu Wenye msimamo thabiti katika uendeshaji wa chi; ndio maana yeyote anayepinga matakwa yake anaondolewa kwasababu zisizokuwa na kichwa wala miguu!! Sintaona ajabu kuwa yeye JPM ndio yuko nyuma ya maazimio yote ya Bunge kuhusu CAG!!! Ukweli ni kwamba toka CAG aumbue upotevu wa shs. 1.5 tril. huko serikalini, JPM amekuwa akionesha wazi wazi kutofurahia utendaji kazi wa CAG!!!! Anatafuta sababu ya kumuondoa ASSAD na aweke mtu wa kwao atakayemfichia madhambi ya ubadhirifu wanaofanyia nchi. Time will tell!
 
samahani mi naomba kujua mfano nikiona bunge lina mapungufu flani flani nikitaka kutoa maoni yangu kama raia natumia maneno yapi ili niendeleee kuwa raia mwema na mzalendo?
 

Hebu angalia hii reasoning!
Uko sawa kichwani?
 
Unasubiria embe chini ya mnazi?
 


Mkuu:
Hapo neno kuropoka una maana gani.
CAG hakutamka kama unavyo andika wewe ni vyema ungerejea ile clip ya mahojiano na chombo cha habari cha UN ndipo unaweza kubaini nini alicho kisema CAG.
 
Naked Truth yeye ndiye anafanya yote haya na Assad ameamua kutoidhalilisha taaluma yake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmebadili upepo tena...si mlidai Assad analindwa na Katiba..mnatuletea vifungu viingi, wengine walimu failure lakn wanajifanya wanasheria na wataalam wa katiba....mlidai Assad kung'olewa ni mchakato mgumu mara mpak majaji kutoka nje na kuwe na hoja nzitto na sio hoja ya spika ambayo mnaiita hoja dhaifu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€....ha ha ha wapinzani wa serikali bhana ni kituko kweli kweli....

Wayahudi wakiwa wamechoshwa na kodi kubwa za warumi, walimuuliza Yesu kama ni halali kulipa kodi hzo kandamizi...mana lengo lao walitaka wakiamshe (wagome) ila walitaka support ya Yesu, na Yesu akawachomea utambi, akakazia akasema wanatakiwa walipe kodi tena kwa uaminifu, na haijalishi kodi inaumiza kias gan.....

Kiuhalisia Assad hana uelewano mzur na Jiwe, pamoja na Ndugai, ila walikuwa wanamuotea pa kumpigia ....alivyo boya akaingia mkenge. amewatengenezea uchochoro na hapo hapo ndo wanamchomea, ameanza wao wanamaliza.....unalitukana bunge tukufu kuwa ni dhaifu..alafu badae unwapelekea Ripoti yako ili waijadili, 😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…