Prof. Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena Ubunge, asema hakuna wa kumshinda zaidi ya Mungu

HONGERA SANA KWA MAMA YETU PROFESA ANNA TIBAIJUKA KWA KUTANGAZA KUSTAAFU UBUNGE BAADA YA KUONA UMRI UMESOGEA

HIVYO BASI WATU KAMA AKINA MWIGULU NCHEMBA, NDUGAI, MWAKIEMBE MJIUZULU KUGOMBEA UBUNGE MAANA UMRI WENU UMEENDAA MTUACHIE VIJANA
Mwigulu? Kama siyo Nchemba ni mtu mwingine nitakuelewa
 
Usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure' hakukuwa na sababu ya huyu Prof kuweka jina hili lenye mamlaka,utukufu,heshima na enzi katika hizi siasa chafu za Tz,hii ni kiburi cha uzima,Sijajua kama alikuwa anamaanisha kushindana na Mungu kugombea ktk jimbo hilo??? Huyu mama kauli zake huwa ni 'tata' unapoongea ktk public fikiria Mara 2 maneno ya kuongea,wanadamu tunapofanikiwa tunajisahau sana,
 
Kamwanamke kenyewe Nanak on is him danisha na yeye aliye juu sasa!?! Kameona uwaziri hamna, marushwa yamededi,masafari ya nje hola ni usumbufu wakwenda Dom kibibi chawatu ndo kinakumbuka vijana. Ameacha nini cha muhimu kwa watuwake? zaidi ya maneno yahovyo mpaka kutumbuliwa na kikwete,wizara aliyoongoza hamna chakumpongeza anastaafu kama prof uchwara no legacy.
Bila shaka taarifa sahii hamna?
 
Utakuwa na chuki naye sio bure.

Huwezi ukamlinganisha na wew huyo mtu.
Heshima yake itabaki pale pale alikuwa mwanamke wa Kwanza kuwa UN vice secretary.kama hutaki jinyonge.

Lakini walau muleba amefanya kitu amajenga Barabara,masoko na mashule kibao kuliko wabunge wengine wengi ambao hawafanyi lolote
 
Natjmaini hata kaka yangu Mwigulu Nchemba ataniachia jimbo na yeye ili ajikite zaidi kwenye mbio za urais kama ilivyokuwa kabla ya 2015.
Ambapo namshauri aanze kuandika upya kwenye mawe mwigulu rais 2020.
 
Wakati huyu anatangaza kung'atuka, watu wengine kama Wassira (Tyson) nadhani wapo bize wakijipanga kugombea. Vijana kuleni bata kwa step huku mkiweka akiba pembeni.
 
Utakuwa na chuki naye sio bure.

Huwezi ukamlinganisha na wew huyo mtu.
Heshima yake itabaki pale pale alikuwa mwanamke wa Kwanza kuwa UN vice secretary.kama hutaki jinyonge.

Lakini walau muleba amefanya kitu amajenga Barabara,masoko na mashule kibao kuliko wabunge wengine wengi ambao hawafanyi lolote
Amejenga kwa hela zake?
 
Kuna dozen ya wawaniaji jimbo hilo (i). Lecturer Iringa, (ii). DC fulani, (iii). Mchumi fulani, (iv). Afisa Mazingira, (v). Mkuu wa shule, na (vi). Katibu wa CCM mpyaa wilaya moja hivi.

Hatimaye Masilingi atapata Jimbo tena
[/QUOTE
 
Back
Top Bottom