Prof. Anna Tibaijuka anafaa kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,254
44
Habari zenu wanajamvi,
Habari za saum kwa mliofunga,

Kiufupi nimefatilia kwa ukaribu sn jinsi Prof. Tibaijuka anavyofanya kazi ngumu katika wizara mama tena km figo katika wizara zote, nimejiridhisha kuwa Prof. Tibaijuka ni mchapa kazi, mkweli, anependa watu, asiye na hiyana na mtu na mpenda maendeleo kwa nchi yetu Tanzania.

Jamani tumuombeeni mwenyezimungu amuinue zaidi na ikiwezekana kuiongoza nchi hii iliyojaa mafisadi, wenye uchu wa madaraka na wasema mazuri mbele ya macho ya watu ila mioyo yao imejaa ubinafsi, rushwa na fitina na kuigeuza TZ km shamba la bibi.

Nawasilisha

PROF. ANNA TIBAIJUKA AKIWA NA SIMBA WA AFRIKA KIONGOZI MH.NELSON MANDELA. AMA KWELI PROF.TIBA ANAPAA
1460268_607380529321785_1918588413_n.png

KONGAMANO KABAMBE LILILOFANYIKA KATIKA SEHEMU YA SOCIAL SCIENCE HALL UDOM LIKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO FEISAL MOLLEL NDOSSY, WAMEMLILIA KIONGOZI MSOMI 2015 AJITOKEZE KATIKA KUWANIA URAIS NA WAPO TAYARI KUMPIGANIA MWANZO MWISHO WAKIMTAJA HASWA PROF.TIBAIJUKA ANNA KUWA NI WAKIPEKEE ZAID KATIKA SAFU NZIMA.

KIONGOZI HUYO ALIENDELEA KWA KUSEMA, "PROF. ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA NI KIONGOZI WA KUIGWA KWANI AMEKUA BIZE AKITEKELEZA ILANI YA CCM 2010 - 2015 TOFAUTI NA WENZAKE ANAVONG`ANG`ANIA UTAWALA NA SIO UONGOZI KM VILE WAO NI MIUNGU WATU.
ALISEMA, PROF.TIBAIJUKA NI MSOMI, MWALIMU, ANAEPENDA MAENDELEO NA KATIKA KERO AMBAZO ZINAMGUSA SN HAPA NCHINI NI PAMOJA NA;-

1. AJIRA, 2. UMASKINI, 3. AFYA, 4.ELIMU, 5.MASLAH BORA KWA WATUMISHI WA UMMA, 6.KILIMO, 7.MICHEZO, 8.MACHINGA, MAMA NTILIE (KAMA SEEM YA BIASHARA NDONGONDOGO), 9.MASOKO BORA KUTOKA NCHI ZA NJE NA 10.KUSHUSHA MFUMUKO WA BEI NCHINI NA KODI STAHIKI NA NDOGO KWA WAFANYABIASHARA.

AKIONGEA NA WANAVYUO HAO WAPATAO ELFU 6, KIONGOZI HUYO AMBAE KWA JINA ANAITWA FEISAL MOLLEL NDOSSY ALISEMA, NCHI HII INAMATATIZO MENGI JAPO MH.RAIS DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE KAJITAHIDI KUYAPUNGUZA MNO IKIWEMO SUALA ZIMA LA BARABARA.

ALISEMA, PROF. TIBAIJUKA NI MWANAMKE WA KWANZA AFRIKA KUCHAGULIWA NA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA NA KULIONGOZA MOJA YA TAASISI ZAKE DUNIANI(UN HABITAT)

ALISEMA, ALIGUSWA SN NA PROF.TIBAIJUKA PALE ALIPOMSIKIA AKISEMA "KUZALIWA MASKINI SIO TATIZO ILA KUFA MASKINI NDIYO TATIZO NA UTAULIZWA NA MUNGU" AKIMAANISHA LAZMA AJITAHIDI KM KIONGOZI KUHAKIKISHA WATANZANIA WANAONDOKANA NA UMASIKINI KWA KUWAWEKEA MIKAKATI KABAMBE YA KIUCHUMI AKIWA KM MCHUMI HODARI.

AMA KWELI PROF. ANAWAFUASI WENGI MNO MANA HAWA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU ELF6 WANAFAMILIA ZAO NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI. PIA NDIO WATUMIAJI WAKUU WA MITANDAO YA KIJAMII. KWAIYO WATAKUA WAMEFIKIA WATANZANIA WENGI SN TANZANIA NA DUNIANI KWA UJUMLA WAKE.

DUH. ILIKUA KM BOMBAY KWA UMMAT WA WATU HAO ILA KILICHONISTAAJABISHA MH. PROF ANNA TIBAIJUKA HAKUWEPO WALA NINI.
NAWASILISHA NDG.ZANGU
 
Kabila lake silipendi. Wanajivuna sana Ishomile. Pia wana ukabila kweli. Akiwa Rais atajaza wahaya tupu IKULU. Pia kunaweza kuwa na ugomvi wa kikabila na Wachagga hasa ikiwa ataifumua TRA
 
Habari zenu wanajamvi,
Habari za saum kwa mliofunga,
Kiufupi nimefatilia kwa ukaribu sn jinsi Prof. Tibaijuka anavyofanya kazi ngumu katika wizara mama tena km figo katika wizara zote, nimejiridhisha kuwa Prof. Tibaijuka ni mchapa kazi, mkweli, anependa watu, asiye na hiyana na mtu na mpenda maendeleo kwa nchi yetu Tanzania. Jamani tumuombeeni mwenyezimungu amuinue zaidi na ikiwezekana kuiongoza nchi hii iliyojaa mafisadi, wenye uchu wa madaraka na wasema mazuri mbele ya macho ya watu ila mioyo yao imejaa ubinafsi, rushwa na fitina na kuigeuza TZ km shamba la bibi. Nawasilisha
Tangu ameshika wizara migogoro ya ardhi ndiyo imeshika kasi zaidi.Ukuritimba rushwa wizara yake imekithiri.Satellite city hata moja haijaanza kujengwa.Huyu mama hata uDC haumfai
 
Anna Tibaijuka,
Awe rais tena?
Mbona hata huo uwaziri wake ni sawa na alipewa zawadi tu.

Hapana mimi nasema kuwa hafai kabisa;
Na kama mnataka watu turudi tulikotoka
wekeni mwanamke YEYOTE yule agombee urais.
 
Last edited by a moderator:
she is short tempered, alishindwa kujibu hoja alipowekwa kwenye kona na Halima Mdee. Mpango wake wa kuvunja maghorofa ya ufukweni umeishia wapi kama sio uwoga.
Kiongoz wangu, ufukweni hakushindwa ila wale jamaa walikimbilia mahakamani kuweka pingamizi na km unavoelewa mambo yakishakua court you are not suppose to speak anythng. Atayabomoa tu namwaminia.
Kuusu temper co mwanangu alshangaa sn kwa mtu kmk mh.mdee km angesema uongo mkubwa km ule bungeni na ndomana hakukubali akamburuza kwenye sheria zaid
 
Habari zenu wanajamvi,
Habari za saum kwa mliofunga,

Kiufupi nimefatilia kwa ukaribu sn jinsi Prof. Tibaijuka anavyofanya kazi ngumu katika wizara mama tena km figo katika wizara zote, nimejiridhisha kuwa Prof. Tibaijuka ni mchapa kazi, mkweli, anependa watu, asiye na hiyana na mtu na mpenda maendeleo kwa nchi yetu Tanzania.

Jamani tumuombeeni mwenyezimungu amuinue zaidi na ikiwezekana kuiongoza nchi hii iliyojaa mafisadi, wenye uchu wa madaraka na wasema mazuri mbele ya macho ya watu ila mioyo yao imejaa ubinafsi, rushwa na fitina na kuigeuza TZ km shamba la bibi.

Nawasilisha

Duuu kumbe hata mimi naweza kuwa rais ee kweli watanzania wengi bado vilaza
 
Tanzania bado sana mwanamke kuwa rais huo ndiyo ukweli, mfumo dume bado una nafasi kubwa.

Ina maana TISS wamepotea kwa Asha Rose Migiro?naona nyota ya Shein ipo wazi kwa ccm ili kuua makundi
 
Anna Tibaijuka,
Awe rais tena?
Mbona hata huo uwaziri wake ni sawa na alipewa zawadi tu.

Hapana mimi nasema kuwa hafai kabisa;
Na kama mnataka watu turudi tulikotoka
wekeni mwanamke YEYOTE yule agombee urais.
Aaa jamani wanawake mnaweza pia. Kumbuka uyu ni Prof. na UN wanamlilia hadi kesho
 
she is short tempered, alishindwa kujibu hoja alipowekwa kwenye kona na Halima Mdee. Mpango wake wa kuvunja maghorofa ya ufukweni umeishia wapi kama sio uwoga.

Wewe magorofa ya ufukweni mbali hivyo lile gorofa pacha lililoporomoka kipo wapii ccm kwa ujumla wake ni ukoo wa panya baba, mama bibi, babu, mpaka vitukuuu ni wezi tu wanangata na kupuliza
 
Anna Tibaijuka,
Awe rais tena?
Mbona hata huo uwaziri wake ni sawa na alipewa zawadi tu.

Hapana mimi nasema kuwa hafai kabisa;
Na kama mnataka watu turudi tulikotoka
wekeni mwanamke YEYOTE yule agombee urais.

Hata hao wanaume yupo wapi mlio nae mwenye ahueni ya masoko?
 
Last edited by a moderator:
Mwambie aje humu JF. Kuna kipindi alikuwa anafanya hivyo. Sasa sijui kwa nini kakimbia maswali ya wana JF

Majukumu kiongozi, sasaiv anachapa kazi za serekali usiku na mchana na anataka utakatifu uliotukuka katika kazi zake ndomana yupo bize mbaya. Anachapa kazi km komputer
 
Huna hoja, kumpa huyu mama nchi ni kuitumbukiza kwenye majanga. Kwa upuuzi huu uliyouleta hapa jamvini sidhani kama utapata supporters.
 
Jipime kwanza uone km unaweza kuwa rais. Huyu ni Prof. tena kafanya kazi UN miaka 18 na wanamlilia adi kesho .uwezo wake na uchapakazi wake ni km computer
Duuu kumbe hata mimi naweza kuwa rais ee kweli watanzania wengi bado vilaza
 
Majukumu kiongozi, sasaiv anachapa kazi za serekali usiku na mchana na anataka utakatifu uliotukuka katika kazi zake ndomana yupo bize mbaya. Anachapa kazi km komputer

Hana lolote ni fisadi tu, kama mafisadi wengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom