Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
aoneshe documents za mishahara tu kama zipo...
Huyo sela aajitetea tu hana lolote la maana la kusema,,,eti kuna maovu ndani ya endless fame Director Wa Wema Sepetu Ajitetea Baada Ya Fuska - bkuHABARI
Ndiyo yapo, ila tu uwasilishwaji wake ni wa kinafik,siku zote alikuwa wapi?? May be angetangulia kuyasema yeye sawa,ila kategea wameyajua maovu yake ndo anajifanya na yeye anatak kutoa yake,kama anasema endless kuna maovu na yeye si alikuwa mmoja wao?? Sasa wote si ni wale wale
Tabia zao ni moja,,,kama kweli aliona kama kkuna maovu basi angefanya juu chini ili kuhakikisha ameyaanika, na wala angojee wakati ambapo ametemwa ndipo anaanza kupayuka kuwa endless fame kuna maovu... Hala lolote atakalowaambia watu kwani maji yashamwagika,,hayazoleki
Maskin lexus na Audi atabaki kuziona kariakoo tu zikipita, ,da kweli mule kuna maovu,si aseme tu waliyokuwa wanayafanya wote,mbona tunajua mda tu
penye red , hapa sasa anamtisha nani
, tena nawaomba wasiendelee kusema uongo kwani nina mengi nayajua ya Endless Fame," aliongeza Chid.