mmmmmmmh....umenikuna nilipoona thred yako kuhusu EDM producers...in short EDM ndo kilevi changu tangu nianze kusikiliza nyimbo za EDM nilipokuwa form 2 na sasa nipo chuo mwaka wa mwisho.. ...nawafuatilia sana especially Show zote za
a).Miami
b).Armstadam
c).Ultra music festival live
d).Tommororland ultra music live
e).Big celebits
f).pamoja na ultra music festival zote zinaendelea duniani kote..
Bila kuzisahau best subscribes zangu especially lebel kubwa za kimataifa kama
a).Spinnin records
b).Armada music
c).Ultra music
d) proximity
e).na nyingine kibao zinauza ngoma kali za EDM
PIA SIWEZI ACHA WASAHAU HAWA VIUMBE KILA WATOAPO NGOMA KALI AU KUWA LIVE SEHEMU YOYOTE DUNIANI MIMI HUWAFUATILIA KILA DAKIKA KADRI MUNGU ANAVYONIJALIA PUMZI YANGU...
( * ) ....noma sanaaaaaa
1.david guetta *
2.Avicii *
3.martin garrix *
4. steve aoki *
5.Hardwell *
6.Dash berlin *
7.Armini van Burren *
8.Garety emery *
9.Axwell *
10.Sebastian Ingroso *
11.Alesso *
12.Calvin Haris *
13.Nick Romero *
14.petterson
15.Sweedish house mafia *
16.The chainsmoker *
17.Zedd *
18.Methew koma
19.Jay hardway
20.W&W *
21.Afrojack
22.Blasterjaxx
23.Major lazer
24.Alan walker *
25.Alex newell
26.Ashley Wallbridge *
27.Marshmello *
28.Bebe Rexha
29.Borgeous Morten
30.Codeko
31.Denis kenzo
32.Don diablo *
33.Ed sheeran *
34.Eric Turner
35.John Dahlback
35.Kat Krazy & Elkka *
36.Kygo *
37.mokita
38.Oliver heldens
39.Quintino x Cheat codes
40.Robin schulz
41.Sam Feldt
42.Skrillex *
43.Tavi castro
44.Tritonal *
45.Vicetone *
46.Vybz kartel
47.Yellow Claw *
48.Alex Gaudino
49.Krewella *
50.Nicolaz *
kwa hiyo unasema EDM unanikuna unanifanya niache kufanya kazi nianze kula ngoma kali...bila kusahau U.k top 40 april 2017
bila kusahau BILLBOARD HITS april 2017 on chart ..
karibu kwenye ulimwengu wa ELECTRONIC DANCE MUSIC