Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

Inamaana hakua na cctv kwenye studio yake??
Sidhani kama kuna cctv pale, nimeangalia mahojiano yao...ki ukweli mazingira ya pale ni duni sana. Sikutegemea kwa ukubwa wa jina la s2kizzy studio yake ingekuwa maeneo duni vile. Kuna kitu kinatakiwa kufanyika kwenye sanaa, wasanii wana majina makubwa lakini maisha yao ni choka mbaya. Inasikitisha.
 
Aisee kwa jamaa alvo na Jina kubwa hvo
Na ukubwa WA Kaz anazotoa
Alaf studio inakaa rafurafu hvo
Inasikitisha Sana kwa kwel,
Mastaa cjui pesa wanaishia kutanua na magari ya batatu nazo ama nn yani.
 
Sema tatizo wabongo huwa tuna tatizo la kukuza Mambo !!! Kwahiyo Mimi siamini et wameingiziwa mikono kwenye uchi sijui nini !! Na blah blah

Watanzania ni waongo sana.
Tumekuza sisi au waathirika waliofanyiwa hivyo,katizame interview waliofanyiwa waathirika wa hili tukio ktk Wasafi,Millard wote wameohojiwa kwa mda tofauti wanaongea kitu kimoja.

Na huyo binti aliyefanyiwa hivyo ana michubuko makalioni na mapajani.
 
Kwani hao waathirika siyo watz (wabongo) ?
Na kuongea kitu kile kile ndiyo inajustify kwamba hawakuzi mambo?
Na wewe umeona vipi hayo makalio yaliyochubuka, huku ndiyo kukuza mambo nakokusemea Sasa!!!
 
Haya kabishane na video.
 
Zamani mwanamke akidhalilishwa kingono alikuwa anaogopa hata kutoka nje kwakukosa kujiamini. Siku hiizi ni tofauti.

Mwanamke anaona fahari sana kuelezea alivyofanyiwa tena mbele ya camera na sura inaonekana hata majina wantaja kabisa
 
Back
Top Bottom