Produce Of Tanzania

Produce Of Tanzania

Chamoto

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
9,883
Reaction score
22,310
Dar%2Bes%2BSalaam-20110816-00290.jpg

​
Unaikumbuka hii?​
 
Asante Mkuu, kweli tulikuwa Tajiri, lakini sasa tumeuza Nchi.
 
Du!!!!!!!!!!!!!, kweli tuko upside down.....
 
Dah! Tumetoka mbali sana! Mafuta hayo yalikuwa yanatengenezwa na kiwanda cha VOIL- Mwanza kabla hakijauzwa kwa SIMON GROUP kwa bei ya Kutupwa.
My poor Mother Tanganyika utalala mpaka lini?
 
Na kuipata ilikuwa mbinde hadi kwa mgawo nyumba kumi kumi au uwe na mtu RTC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom