Procurement professionals

cronique

Member
Jan 25, 2009
30
2
Habari zenu wandugu?

Jamani natafuta watu wanaodeal na mambo ya procurement. Some sort of consultants au kampuni. Kama kuna mtu yeyote huko, please private message me.

Natanguliza shukran zangu.
 
Mkuu naweza nikasaidia kukufanyia connection. Nijue tu ni nini unahitaji. You can PM.
 
Thanks Superman,
Ni research kidogo, wanatakiwa watu kama wawili au watatu hivi wanaojua jinsi Procurement processes, suppliers, prices in general, relationship between customers and vendors, logistics. In short entire Supply Chain in Tanzania. Itakuwa maswali kadhaa ya kujibu, of course kutakuwa na some form of compensation kufatana na qualifications zao, depending on the level of details. More information itakuwa kwenye PM later.
 
I am an experienced procurement professional, who can help to quench your thirsty. You can contact me via my mobile 0767 596697
 
joven - Nimejaribu kukupigia simu inaita tuu. Ukiona foreign number kwenye missed calls zako, please sms and I will call you back.
 
Last edited by a moderator:
Dear Superman nimesomea hayo mambo na nina uzoefu, pls contact me at 0719 274 700 nione kama tunaweza fanya kazi pamoja
 
Back
Top Bottom