Hakuna kozi icyo na soko ndio maana znafundishwa kila cku kwa maana bado znauhitaji wa watu....UJUMBE WANGU ni huu soma TAFUTA CONNECTION narudia tena TAFUTA CONNECTION narudia tena SOKO LA KOZI NI CONNECTION utakuja nikumbuka cku za mbelen nshamaliza na kwaher
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app