Processor gani nzuri ya i5 yenye uwezo wa kucheza game kubwa?

Processor gani nzuri ya i5 yenye uwezo wa kucheza game kubwa?

Ila naona ukiwa na igpu hasa hizi intel hd 4000 na kuendelea zinacheza game fresh tuu kuna core i5 moja hapa ilikuja nikaweka gta 5 ikacheza kwa 760p fps skupima ila kimakadirio kwa macho ni 24 hiv
Cpu core i5
Ram 6gb
Igpu intel hd 4400
Ila cha msingi update driver za igpu ziwe latest kwa sababu intel wamezioptimize hizo igpu zao kwa game za kisasa

kwenye skylake sasa ndio balaa.

mwezi huu zinatoka processor zenye igp ya iris pro 540 ambayo ni 50% faster kuliko iris 6200.

hio igp itakuwa level za nvidia gtx 750ti

pia igp ya mainstream ya skylake hd530 inacheza almost magame yote kwa 720p
 
Procesor inamata kwa mfano fifa inataka quard core cpu la sivyo itacheza kwa kustack stack even fps itakuwa 30

30FPSs sio mbaya kwa entry gamer.. Nimesema specs nilizompa ni entry level. Na cpu kua quad core doesnt mean its faster than a dual core, zipo i3 dualcore ambalo huwezi linganisha na quadcore za pentium au h3, kua na many number of cores sio everything, notice nilisema processor sio as important as a gpu sio kwamba haina umuhimu. You can get hadi 70fps kwa processor ya kawaida ila sio kwa gpu ya kawaida.
 
fifa 2015 ni habari ingine kabisaaa, laptop ndogo ndogo hazirun hat kidogo

kuna magemu supa
mfn; wheelman,sleepin dog,red giant etc yana stack stak sana kwenye pc za kawaida
 
30FPSs sio mbaya kwa entry gamer.. Nimesema specs nilizompa ni entry level. Na cpu kua quad core doesnt mean its faster than a dual core, zipo i3 dualcore ambalo huwezi linganisha na quadcore za pentium au h3, kua na many number of cores sio everything, notice nilisema processor sio as important as a gpu sio kwamba haina umuhimu. You can get hadi 70fps kwa processor ya kawaida ila sio kwa gpu ya kawaida.
Niliona unasema processor haimati kabisaaaaa akati inamchango mkubwa kwa baadhi ya game za kisasa
 
kwenye skylake sasa ndio balaa.

mwezi huu zinatoka processor zenye igp ya iris pro 540 ambayo ni 50% faster kuliko iris 6200.

hio igp itakuwa level za nvidia gtx 750ti

pia igp ya mainstream ya skylake hd530 inacheza almost magame yote kwa 720p
Bye bye nvidia..maana graphic card inapita bey ya kununua pc nzima
 
Ukitaka kucheza games bila kununua gpu the best way to go ni kutafuta amd apu's! Bei zake ni rahisi sana ukilinganisha na Intel na integrated gpu zake ni very powerful. Tatizo linakuja kuwa hapo inanidi pia utafute na motherboard
 
Niliona unasema processor haimati kabisaaaaa akati inamchango mkubwa kwa baadhi ya game za kisasa

yap si games zote ni gpu bound kuna games kibao zinachezeka na igp na zinataka cpu kubwa. mfano, planetside na minecraft na kama unapenda mods za games ndio utahitaji cpu kubwa zaidi sababu nyingi hazina optimization nzuri.

pia online games almost zote ni single threaded hivyo utahitaji cpu yenye nguvu.

bila kusahau game za kawaida zenye multiplayer kama battlefield uingie multiplayer ya watu 30 na cpu kimeo ujue hata fps 10 hufikishi

cheki hili game
fsx_1920.png

i7 inastrugle kulirun hapo inabidi hadi uwe na haswell-E labda i7 yenye core 6-8
 
Ukitaka kucheza games bila kununua gpu the best way to go ni kutafuta amd apu's! Bei zake ni rahisi sana ukilinganisha na Intel na integrated gpu zake ni very powerful. Tatizo linakuja kuwa hapo inanidi pia utafute na motherboard

kuanzia mwaka jana officially igp za intel zina nguvu kuliko apu za amd.

iris 6200 ilizidestroy apu zote na mwaka huu iris 540 itazidi kuongeza gap.

14-IGP-Bioshock-Infinite.png
 
Bei yake je? Na kama kweli unatumia common sense Kuna mtu atanunua processor yenye iris 540 halafu ashindwe kutumia hela ya kununua gpu? Use common sense
 
$130 kwa $390? Hapo hiyo 7850k a10 ndio ulinganishe na Intel 5775c. I will take amd any day!
 
$130 kwa $390? Hapo hiyo 7850k a10 ndio ulinganishe na Intel 5775c. I will take amd any day!

i5 version ya iris ni sub $200 na pia unapata powerfull cpu ambayo ni zaidi ya 60% faster single thread perfomance.

na unajua nini? inatumia watts 65 tu wakati amd a10 zinakuwa 95w

so conclude amd
-inatumia umeme mwingi zaidi
-inatoa perfomance ndogo zaidi ya cpu
-inatoa perfomance ndogo zaidi ya gpu
-kwa price difference around $100

na pia hd530 inayokuja na skylake pia inaipa competition amd na ina cpu za bei rahisi kibao kama i3 6100 na pentium series

bioshock-infinite.png

pia sababu apu zina cpu perfomance ndogo games zote zinazohitaji cpu kubwa huchezi wakati kwa intel unapeta tu hebu ona gap la single thread
ICQlSnU.png

overclocked g3258 ni zaidi ya 100% faster kuliko cpu yoyote ya amd single thread hivyo nikichukua g3258 na decent gpu kama gtx 750ti unavipata around $150 vyote au ukashuka kidogo 750 unavipata hata $100 unaipita apu yoyote kwa perfomance
 
Bei yake je? Na kama kweli unatumia common sense Kuna mtu atanunua processor yenye iris 540 halafu ashindwe kutumia hela ya kununua gpu? Use common sense
iris 540 nimesema hapo juu inatoka mwezi huu wa pili/tatu hivyo usiijudge.
 
Kwa budget huwezi kuishindabl amd hata kidogo. Hiyo pentium uliyotaja ina 2 cores na Haina igpu inafaa kufanya comparison na athlon x4 ma siyo apu. Kwa bei ya hizo processor moja ya Intel unanunua moja ya amd apu na unabakiwa na hela ya kununua motherboard. Na pia Kuna gpu za amd zinakubali xfire na onboard gpu so ni win win!
 
who said pentium hazina igp? processor zote za intel zina igp na zipo pentium zenye hd530 mfano g4500

na nimekuonesha hd530 hapo juu almost ina power kama apu za amd na baadhi ya apu zinapitwa.

ukija cpu pentium ni nzuri kuliko amd single threaded na huwenda zipo sawa au zimepitwa kidogo multithreaded na kuanzia skylake unaweza ku blck overclock so uki overclock g4500 ujue apu zinaachwa mbali tu.

na ukumbuke pentium NI cheaper kuliko apu
 
Je wewe unapenda pc games au mtu wa graphics au mtu wa editing basi njoo nikuuzie mashine ya kibabe Dell precision T7400 Xeon 2.33ghz(8cpu),ram 2 gb up to 64 gb,hdd 4T,graphics card nvidia Quadro fx .....nicheck hapa 0655090000
 
DirectX 12 imetoka na windows 10 itaongeza sana ufanisi kwenye games hadi 2x kwani developers sasa wanaweza kuwasiliana na gpu kwa urahisi tena zaidi ya moja kutoka kwa kampuni zaidi ya moja tofauti na zamani hadi utumie crossfire au sli, mfano unaweza weka kwenye pc yako nvidia na amd gpu na zote zikafanya kazi. Pia cpu core zaidi ya moja zinaweza kuwasiliana na gpu kwa wakati mmoja tofauti na matoleo ya dx za zamani ambapo cpu core moja tu ndiyo ilikuwa inaweza, hivyo maboresho hayo yataongeza fps za games hadi mara mbili ya sasa. Kwa wale wenye multicore cpu kama mimi nina 8 core cpu ni muda wa kula bata tu
 
Back
Top Bottom