the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 888
Msaada wakuu, ni processor gani nzuri ya i5 yenye nguvu ya kurun magemu makubwa kama Gta 5 Witcher 3 na program kama Auto cad
msaada wakuu ni processor gani nzuri ya i5 yenye nguvu ya kurun magemu makubwa kama Gta 5 Witcher 3 na program kama Auto cad
Haya washakusikia mkuu!Watu tunatumia i7 sasa bwana
msaada wakuu ni processor gani nzuri ya i5 yenye nguvu ya kurun magemu makubwa kama Gta 5 Witcher 3 na program kama Auto cad
Watu tunatumia i7 sasa bwana
Processor haimatter sana kwenye kucheza games. Hata processor ya bei chini kama Pentium G3258 inaweza cheza games vizuri tu. Cha muhimu uwe na graphics card ya uhakika, kwa games kubwa hivo ukitaka kucheza kwa FPS kubwa jaribu kucheki NVIGIA GTX 970 au zaidi, au kama pesa ngumu basi angalau 30+FPS kwa card ya AMD Radeon R9 270X+. RAM hakikisha ni kuanzia 4GB kwenda juu.
Games bhana zinapenda high specification computer ambazo zinagharama kubwa ila mwisho wa cku una gain fun na sio mkwanja....
uamuzi ni wako tu, unaweza nunua pc ya bei rahisi ya 2015 ukacheza games za 2008 kushuka chini bila graphics card wala kuspend hela nyingi
Sasa hapo inabidi tu uchukue mashine zenye very high end performance kwenye kila idara kama vile processor(core i7 latest Generation e.g 6th Gen), ram(at least 32gb)na graphics ( Nvidia GTX Titan x). Ila mfukoni uwe na mkwanja wa kutosha!Tatizo linakuja pale ukicheza games za 2008 kushuka chini zina graphics za kawaida sana ukiringanisha na za 2012 kuja juu so there is no enough fun
msaada wakuu ni processor gani nzuri ya i5 yenye nguvu ya kurun magemu makubwa kama Gta 5 Witcher 3 na program kama Auto cad
Procesor inamata kwa mfano fifa inataka quard core cpu la sivyo itacheza kwa kustack stack even fps itakuwa 30Processor haimatter sana kwenye kucheza games. Hata processor ya bei chini kama Pentium G3258 inaweza cheza games vizuri tu. Cha muhimu uwe na graphics card ya uhakika, kwa games kubwa hivo ukitaka kucheza kwa FPS kubwa jaribu kucheki NVIGIA GTX 970 au zaidi, au kama pesa ngumu basi angalau 30+FPS kwa card ya AMD Radeon R9 270X+. RAM hakikisha ni kuanzia 4GB kwenda juu.