Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Naombeni ushauri au kama kuna msaada maana kuna simu yangu ninayo ila inanizingua kidogo...Nimenunua Memory card aina ya MICRO SDHC lakini tatizo linanijia inakubali kusoma data kwenye simu na nikiweka nikienda sehemu ya memory card inaonyesha CAPACITY NI 3774MB and USED 82MB and FREE 3691MB so nikijaribu kuweka mp3 zangu kwa njia ya bluethooth kutoka simu yangu nyingine hii nokia inasema kwamba NOT ENOUGH MEMORY TO PERFORM OPERATION...So bado sijajua mpaka sasa nimejaribu kucheck online for solution but sijapata kabisa...Kuna wataalam humu ndani naombeni msaada wenu please nini nifanye???