Problem of Marrying 'Models' and 'Divas'

Pg-57-marriage-getty.jpeg
ndio kama ivyo hapo anasubiri pesa ya saloon!
 
watu wanapenda umbea mmh! simo mie ngoja nipite.

Ha ha haaa! Sasa wewe unavyotutamanisha kuwa una la kusema lakini unajizuia unadhani nini? We longa bana! Sema tu umependa tabia ya mke wa Boflo hapo hapo unaona Model wife unakula good time. Kizamani upo na kisasa upo vile vile ukaamua kubaki kati.
 
Sasa boflo hilo librifkesi lako si limejaa mihela? Mama boflo ataacha kukunyekea kweli? Unachezea hela wewe? Zamani nna hela Kongosho alikuwa ananisafisha mwili mzima kwa ulimi,sasa nimeishiwa kila siku ananiambia kichwa kinamuuma.
 
Last edited by a moderator:
Wake wa Darisalama wamenishinda...nimeamua kuchukua kifaa cha unyamwezini..

Wacha viatu...nawekewa maji ya moto, nakandwa, napikiwa mapocho pocho, naimbiwa nyimbo kwa sauti nyororo..

Na mengineo ni siri siwezi kuyaanika hapa jamvini(habari ndo hiyo)

Ujumbe mzito umeuweka hapa, lakini wengine tunautafsiri kiulaini tu.
Waafrika tuna kasumba fulani ambayo utaona inatupeleka kuwa mtumwa katika ndoa fulani kwa sababu tu nikuolewa na mume wa aina fulani au kuoa mke wa kiwango kile ndio kujisikia umevuta nguo ya gharama kila upitapo watu watavunjia shingo kuwasindikiza kwa macho, lakni nini kinaendelea ndani ya nyumba ni siri yenu.

Nikianza na bongoland yetu, vigezo vingi vinatutia kitanzi na kuishia kukosa ladha ya ndoa, nini tatizo ni ile kitu wajihi na mvuto wa nje bila kuangalia huyo dada/kaka ataakisi maisha ya ndoa? Tunakutana bar, disco, hotelini nk ujue maisha hayo ndiyo aliyoyazoea na katu hatataka kingizi ile mazingira yale mliyokutana awe dume au jike. Mtindo wa mapokeo ule wa kuulizia nani pale ni chanda cha dhahabu kisha kupata muda wa kuzoea na kumzoea kupata undani wake hata kabla ya kutamka unachokusudia husaidia, vinginevyo kuonyesha lengo mapema ndio huja ile kitu kutengeneza mazingira ya kuuzika na huwa urimbo wakati wa uchumba na kuishia mambo ya utwa na utwana ndani ya nyumba.

Wa ughaibuni wengi nimewahi washauri kujifunza toka mataifa mengine kama kuna uwezekano wa kuoana wenye utamaduni usiotofautiana mno ni bora, na pengine wenye kutoka nchi moja mara kadhaa husaidia kuwa na malengo yanayoelekeana katika kuandaa mipango ya maendelea ya future ya uzeeni, lakini kinyume cha hayo kuingiana na mtu wa aina isiyo na utamaduni wa mbali nawe ndoa nyingi hubaki kuonyeshana rings lakini kila mmoja kujenga uvumilivu usiokifani kwani mengi wanayotofautiana mila na tamaduni katu hawatakutana. Nimewashauri wengi kujaribu waliopo ughaibuni kuridhika na kuridhiana kuamua kuunganika maana wapo wanasubiria ndoto ziwajie na miaka inazidi kukatika, na inapokuja kuona mambo yasijekuwa mabaya, mtu anaangukia hata pale usipotazamia kwa sababu bahati za mwanzoni walizipita chenga na sasa kuna vifaa vipya.

Sina nia ya kuzuia uhuru wa kujichagulia kile moyo ukipenda, ila kimoja kilichoniacha hoi familia kadhaa za mchanganyiko majuu nilioona mmoja anavyopata taabu ndugu zake hata kukabidhi kwa marafiki kwa vile mwenzake hana utamaduni wa mila zetu za extended family. Hawezi kufanya vingine, lakini ni bora kuwa mwazi mapema kuelezana mambo haya, vinginevyo mtu utakuta maisha yote ni kuvumilia tu.
 
Sasa boflo hilo librifkesi lako si limejaa mihela? Mama boflo ataacha kukunyekea kweli? Unachezea hela wewe? Zamani nna hela Kongosho alikuwa ananisafisha mwili mzima kwa ulimi,sasa nimeishiwa kila siku ananiambia kichwa kinamuuma.

Hahaha, peke yako umegundua hilo...ndio maana Kaunga anataka kunipa bintiye...
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana!
Swali la kizushi, sasa hapo huyo mkeo kawa ni mkeo tena au mtumwa?

Mkuu HorsePower swali lako limeshajibiwa na Candid Scope ...huu ndio utamaduni na mila zetu za Kiafrika, mambo ya kumuacha mume apike na kusafisha nyumba ni kuiga mila za kizungu na simaanishi kuwa mume hapaswi kabisa kufanya kazi hizo, la hasha, unaweza kufanya unapoona mke kazidiwa na majukumu au mgonjwa .... msome Candid hapo chini:-

Ujumbe mzito umeuweka hapa, lakini wengine tunautafsiri kiulaini tu.
Waafrika tuna kasumba fulani ambayo utaona inatupeleka kuwa mtumwa katika ndoa fulani kwa sababu tu nikuolewa na mume wa aina fulani au kuoa mke wa kiwango kile ndio kujisikia umevuta nguo ya gharama kila upitapo watu watavunjia shingo kuwasindikiza kwa macho, lakni nini kinaendelea ndani ya nyumba ni siri yenu.

Nikianza na bongoland yetu, vigezo vingi vinatutia kitanzi na kuishia kukosa ladha ya ndoa, nini tatizo ni ile kitu wajihi na mvuto wa nje bila kuangalia huyo dada/kaka ataakisi maisha ya ndoa? Tunakutana bar, disco, hotelini nk ujue maisha hayo ndiyo aliyoyazoea na katu hatataka kingizi ile mazingira yale mliyokutana awe dume au jike. Mtindo wa mapokeo ule wa kuulizia nani pale ni chanda cha dhahabu kisha kupata muda wa kuzoea na kumzoea kupata undani wake hata kabla ya kutamka unachokusudia husaidia, vinginevyo kuonyesha lengo mapema ndio huja ile kitu kutengeneza mazingira ya kuuzika na huwa urimbo wakati wa uchumba na kuishia mambo ya utwa na utwana ndani ya nyumba.

Wa ughaibuni wengi nimewahi washauri kujifunza toka mataifa mengine kama kuna uwezekano wa kuoana wenye utamaduni usiotofautiana mno ni bora, na pengine wenye kutoka nchi moja mara kadhaa husaidia kuwa na malengo yanayoelekeana katika kuandaa mipango ya maendelea ya future ya uzeeni, lakini kinyume cha hayo kuingiana na mtu wa aina isiyo na utamaduni wa mbali nawe ndoa nyingi hubaki kuonyeshana rings lakini kila mmoja kujenga uvumilivu usiokifani kwani mengi wanayotofautiana mila na tamaduni katu hawatakutana. Nimewashauri wengi kujaribu waliopo ughaibuni kuridhika na kuridhiana kuamua kuunganika maana wapo wanasubiria ndoto ziwajie na miaka inazidi kukatika, na inapokuja kuona mambo yasijekuwa mabaya, mtu anaangukia hata pale usipotazamia kwa sababu bahati za mwanzoni walizipita chenga na sasa kuna vifaa vipya.

Sina nia ya kuzuia uhuru wa kujichagulia kile moyo ukipenda, ila kimoja kilichoniacha hoi familia kadhaa za mchanganyiko majuu nilioona mmoja anavyopata taabu ndugu zake hata kukabidhi kwa marafiki kwa vile mwenzake hana utamaduni wa mila zetu za extended family. Hawezi kufanya vingine, lakini ni bora kuwa mwazi mapema kuelezana mambo haya, vinginevyo mtu utakuta maisha yote ni kuvumilia tu.
 
Unataka matifu sasa hivi, tena unaniharibia ndowa ujue??

Leo tukutane basi G&D? Ninavaa ile red top uipendayo, sawa?

Sasa boflo hilo librifkesi lako si limejaa mihela? Mama boflo ataacha kukunyekea kweli? Unachezea hela wewe? Zamani nna hela Kongosho alikuwa ananisafisha mwili mzima kwa ulimi,sasa nimeishiwa kila siku ananiambia kichwa kinamuuma.
 
Sasa boflo hilo librifkesi lako si limejaa mihela? Mama boflo ataacha kukunyekea kweli? Unachezea hela wewe? Zamani nna hela Kongosho alikuwa ananisafisha mwili mzima kwa ulimi,sasa nimeishiwa kila siku ananiambia kichwa kinamuuma.
Mkuu Bishanga ... kuna point hapa! ... Seriously when you came to think about it!
 
Back
Top Bottom