Ni namna low IQ zao zilivyo, wanamshambulia mtu badala ya mada iliyopoSijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika.
Kipindi tunajadili issues za TEC walileta jumuia za kiislamu kishambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI.
Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja zake wakaanza kushambulia maisha yake.
Warioba kasema waliouawa tarehe 29/10 ni wengi kuliko waliouawa wakati wa vita vya Kagera na ni hatari jeshi kugawanyika, wameacha hoja yake wanajadili personality yake eti yeye ni mfumo kristo, itasaidia kitu gani kwenye mada aliyoileta.
Tukisema serikali ya Samia imeua watu wengi, utetezi wao, mnamuonea kwa kuwa yeye ni mwislam, ni mwanamke, haisaidii kitu wala haitafuta idadi ya vifo.
Wakiambiwa Marekani na nchi wahisani zitatuwekea vikwazo, utetezi wao wanatuonea wivu, Marekani akuonee wivu wewe una kitu gani kumzidi.
Machawa na wanaowatuma wajifunze kuwa kujaza chawa jukwaani hakusaidii kama hawana uwezo wa kujibu hoja ni kelele tu kama kelele za walevi bar, kukwepa hoja na kukimbilia personality hakutasaidia kuiokoa serikali.
Ukifilisika kisiasa, ukakosa sera, ukashindwa hoja kichaka cha kuficha aibu yako ni kuingiza udini, ukabila, ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimo ( urefu na ufupi), ubaguzi umbo la mwili( mnene na mwembamba), ubaguzi wa kielimu( aliyesoma na asiye soma) . Yaani ni ubaguzi kwenda mbele kwamufilisi wa kisiasa, kisera, na kihoja....badala ya kujibu mada husika.
Intake hii ndiyo ya hovyo kupita intake zote.Ni namna low IQ zao zilivyo, wanamshambulia mtu badala ya mada iliyopo
Why? Sababu hawawezi jibu mada so wanaona kumshambulia mtu ni rahis zaidi
Scripts wanazopewa ni kupinga tu almradi waonekane kwa bosi wao wamepinga hata kama hakina mantiki yeyote.Chawa hana hoja zaidi ya kuattack mtu hata kiongozi wao bibi kiziwi badala ya kujibu hoja anaona anaonewa wivu, mara aulize wahisani wao "who are you?" Yaani mtu anakuonea wivu kisa kakemea maovu yako
Sawa, polisi hawakuua waandamanaji bali walijipiga risasi, tetea.-hauwezi ukakaa ndani mwako ukajifungia, then ukatunga uzushi wako ambao hata wewe mtungaji hauwezi kuuthibitisha halafu utake watu wajibu umbea na uzushi wako
-tutatumia kila aina ya silaha kupambana na wahuni wowote wanaokuja kwa njia yoyote ile (whether by watershed or bloodshed)
AMANI YA NCHI NI KUBWA KULIKO BAKWATA, TEC NA HUYO MZEE MHUNI (makonda alikuwa sahihi)
Bora sisi walevi wa bar tunakuwa na point sema tu kubishana na sauti kubwa ya mziki ndo kunatifanya tuonekane hamnazo.Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika.
Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI.
Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja zake wakaanza kushambulia maisha yake.
Warioba kasema waliouawa tarehe 29/10 ni wengi kuliko waliouawa wakati wa vita vya Kagera na ni hatari jeshi kugawanyika, wameacha hoja yake wanajadili personality yake eti yeye ni mfumo kristo, itasaidia kitu gani kwenye mada aliyoileta.
Tukisema serikali ya Samia imeua watu wengi, utetezi wao, mnamuonea kwa kuwa yeye ni mwanamke, ni mwislam, haisaidii kitu wala haitafuta idadi ya vifo.
Wakiambiwa Marekani na nchi wahisani zitatuwekea vikwazo, utetezi wao wanatuonea wivu, Marekani akuonee wivu wewe una kitu gani kumzidi.
Machawa na wanaowatuma wajifunze kuwa kujaza chawa jukwaani hakusaidii kama hawana uwezo wa kujibu hoja ni kelele tu sawa na kelele za walevi bar.
Haha samahani walevi wenzangu kwa kuwachanganya na hawa watumwa wa wauaji.Bora sisi walevi wa bar tunakuwa na point sema tu kubishana na sauti kubwa ya mziki ndo kunatifanya tuonekane hamnazo.
Hawa vyawa ni hawana hoja kabisa kabisa, yaani ni empty, sifuri, hamna kitu.
"Strong man discuss idea weak mind discuss people" socrateSijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika.
Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI.
Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja zake wakaanza kushambulia maisha yake.
Warioba kasema waliouawa tarehe 29/10 ni wengi kuliko waliouawa wakati wa vita vya Kagera na ni hatari jeshi kugawanyika, wameacha hoja yake wanajadili personality yake eti yeye ni mfumo kristo, itasaidia kitu gani kwenye mada aliyoileta.
Tukisema serikali ya Samia imeua watu wengi, utetezi wao, mnamuonea kwa kuwa yeye ni mwanamke, ni mwislam, haisaidii kitu wala haitafuta idadi ya vifo.
Wakiambiwa Marekani na nchi wahisani zitatuwekea vikwazo, utetezi wao wanatuonea wivu, Marekani akuonee wivu wewe una kitu gani kumzidi.
Machawa na wanaowatuma wajifunze kuwa kujaza chawa jukwaani hakusaidii kama hawana uwezo wa kujibu hoja ni kelele tu sawa na kelele za walevi bar.
Kikubwa wapate ile commission yao ya 7000/=Scripts wanazopewa ni kupinga tu almradi waonekane kwa bosi wao wamepinga hata kama hakina mantiki yeyote.
Samuya anapiga K Vant kama hana akili nzuri ndiyo maana akisha kipaza sauti anachoweza ni mipasho tu.Warioba ni Mnywa gongo mmoja hana credibility yoyote