Private Jet for sale

Private Jet for sale

Unaleta tangazo la 27Billions kwa hawa losers wa jf watakuchezea tu
 
Mkuu mkoani mnaagiza?
nataka kochi kama hizo 20 niweke kwenye kibanda umiza
 
Vp ni used au mpya! Pia kwanini unauza,maana hiyo bei ipo cheap sana nahofia isije ikawa ina tatizo ndio maana unauza!!
Haina tatizo mkuu. Kama wewe ni rubani mzuri utaitest kwanza
 
Don't take everything seriously mkuu, watu wanapunguza stress tu.
Yawezekana Mkuu maana kuna watu humu wameshadadia saana kununua hii ndege, mara oooh ipo wapi nije na mwanasheria wangu, mara oooh Nimekupm, mara chukua Bil 25 n.k
 
Hujaonyesha hiyo jet ni aina gani, series gani, ya mwaka gani.

Only Dunderheads could believe this piece of shit!!
Kabisa, Niliona hio kiu whatsapp, Leo naona mtu anaitangaza leo JF. Mweeh
 
Yaani hili tangazo ni koma! Nimesoma comments za wachangiaji ndo nikajikuta kama vile nipo jukwaa la utani! Ha ha ha ha haaaaah!
 
Hii ndege ni clone (feki) kama sio feki njoo PM tufinalize business[emoji41] [emoji12]
 
Aiseee, wengine wakinywa chai ya mkono mtupu, wengine wanakunywa chai na maboga au magimbi, wengine wanakunywa chai na keki, piza nakadhalika. Kweli vidole havilingani.
 
Back
Top Bottom