prison break | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

prison break

Discussion in 'Entertainment' started by Nyamtala Kyono, Jun 10, 2011.

 1. Nyamtala Kyono

  Nyamtala Kyono Senior Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni nimekuwa nikiangalia dvd ya prison break niko namba 4

  je ktk prison break ni kina nani unadhani wana akili sana?

  Mi orodha yangu ni hii
  1. Michael scofield
  2. Alexander Mahone
  3. T-Bon
   
 2. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kilerman
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,991
  Trophy Points: 280
  script writer, mtafute jina lake
   
 4. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,939
  Trophy Points: 280
  Anaitwa Paul Scheuring, ile series ukianza kuassess mmoja mmoja utapata list kubwa sana ya wahusika wakali.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Asante kwa uzi wako N Kyono… uko pouwa but naomba niende nawewe tofauti kidogo….

  Kwa upande wangu unapotaja watu wenye akili katika prison break nitamfikiria moja kwa moja Tancredi (I love the name) maana mimi kama mdada wa kawaida nikianza kufikiria ni jinsi gani ningeweza unganisha zile messages za Scofield sidhani kama ningeweza kabisa!

  Wa pili namfikiria the general… Jiulize swali, jamaa alikua ana futa nyayo zake hadi Yule mama raisi alistaafu kawa ajili yake, ukizingatia kua ndo mwanzilishi wa vitimbi vyoote na the fact kua Lincoln alitiwa ndani kwa ajili yake but jamaa tumekuja muona season ngapi??? Hio ni akili bana… ule uwezo wa kua untouchable… na kukanyaga mchanga bila kuacha nyayo…

  Watatu ni Lincoln mwenyewe… jamaa kakulia maisha ya taabu na kuhakikisha dogo ana maisha magumu bila dogo mwenyewe kumsoma kua the broda is in trouble kwa ajili yake till too late! I love a man who puts family first no matter what he has done!

  Wanne kuna kitu kinaitwa haywire…. Jamaa was the first person kum note scofield kua zile si tu tattoo… ni beyond tattoo…. Tukimuacha huyu katika kundi la wenye akili hatujamtendea haki kabisa… wapo wengi kwa kweli… kuna dogo LJ…. Dogo Yule angekua **** angekua maiti alipotambulishwa tu!

  this is to mention but a few…

  Nikiangalia upande wa Scofield and Mahone… Dah! Can go on for ever… my Prison break heroes.. hawa hawana akili they are GENIUSES, kuwaweka kwenye kundi la watu wenye akili ni kuwa underestimate MNO!!!!

  Whereas T-bag… ha ha ha… that is just another f***n level… un-comprehendible kabisa…
   
 6. Nyamtala Kyono

  Nyamtala Kyono Senior Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duuuh Ashadili umenikumbusha 'vichwa' vingine bana..yani kwa hakika ile kitu prison break imesheheni. hivi unakumbuka Mahone alivyokuwa anatafsiri matukio ya kiharifu? na unachek ile dedication jamaa anayoionyesha kwenye kazi yake? kama maafisa upelelezi wote wange kuwa na akili kama jamaa aisee bongo ingekuwa ni noumaaa..ofcoz kuacha tendence yake ya kujidunga madawa....as you put it aisee hawa jamaa ni geniuses kuanzia jambazi T-Bag mpaka Scofield mwenyewe....big thanks kwa ma director na ma producer na scriptwriters...
  Hapa bongo utakuta scriptwriter-Kanumba
  Director-Kanumba
  Actor-Kanumba
  Costume designer-Kanumba
  Lighting-Kanumba
  Location Manager-Kanumba
  ..........................-Kanumba
  ---------------------Kanumba
  ahhahhaaaaaaaa-Kanumba
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Nimefurahi kua we are in agreement... Mahone alinikosha katika scene ya kuwepo
  katika chumba Scofield alipanga mambo yake na katika scene ya mdada wa tatoo...

  Kanumba hata hivyo tusimponde saana, movie zake nashindwa kuvutiwa BUT,
  na muappreciate jamaa alivyochangia kunyanyua Film industry in TZ, tulikua
  nyuma mno... kaniboa tu kua nimeonana nae siku muja (sorry nilimuona..)
  kanenepa... a person ambaye ni star katika movies for you to last for
  long ni muhimu saana kuangalia your health na physicality...
   
 8. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,939
  Trophy Points: 280
  Kuna vichwa vingine kama Kapten Bellick (kutoka kwenye uafisa wa jeshi mpaka ufungwa, ukiwa juu ucwazarau walioko chini), kuna Paul Kellerman, bila kumsahau Wyatt aka Balantanda.

  Namic ile michakato ya kukimbizana kwenye S02 ampayo ndio the peak season for my views huku Mahone akionyesha uwezo wa hali ya juu kwenye kusoma Fisher aka Scofield.

  Kuna kichwa Gletchen (natamani nikipata mtoto wa kike nimpe hili jina).
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Hapo sina la kuongeza but when you mention Gletchen well, my whole attention is on her..

  Ni aina ya mtu ambae unamjudge kwa roho yake mbaya but you still admire..
  and sometime would wish to be... So very strong, intelligent, free of emotions,
  always in control... Nakumbuka scene ambayo alikamatwa na mkuu wa Sona,
  akamuhoji pale dhidi ya allegations za whistler... akajibu kua hajui lolote... sitasahau kamwe
  maneno ya yule mkuu baada ya kumtesa mwana dada...

  They were not exactly in the same line but ilikua something like..

  He may be lying but it seems it is not the first time you have been caught in this position...
   
 10. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bellick: There two rules to follow....
  Michael: What is the second one?
  Bellick: Stick to the first one.

  Liked Bellick's smile. Liked Sara's seriousness. Liked T-Bag's Bravery. Haven't answered the thread qn tho. Sorry.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  ha ha ha ha... Kweli nimeridhika kukumbushwa hapo.....
  Bellick one of the most Vulgar.. he defines the word..

  And 3D need you back ujibu the Qn....lol
   
 12. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Labda sijaelewa, mnawazungumzia characters au actors? Kama ni characters nitakuwa pamoja na
  nyinyi lakini kama ni actors basi sifa zote zimuendee muongozaji wala si wao. Nilipita tu...
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Wis tukizungumzia characters kwanza tutaona uvivu na kuondoka hapa....lol
  fanya tunazungumzia actors katik the specific series...
   
 14. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I skipped the question b'se I never watched all seasons. I walked away with Sara, though she came back! I am poor at watching movies/series in terms of the story itself. I am normally attracted to the details. I have bought some DVDs months ago but haven't finished watching them, I just went for the behind the scene features and maybe a quick view of the movies. It takes me some time to finish watching a single movie due to lots of pauses I put to focus on details. Really sad.
   
 15. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hapo mtakuwa mmeniacha kabisa, kwa kuwa actors ni migizaji binafsi anayeigiza kwenye mchezo/filamu
  na mara nyingi kucheza kwake vizuri ni lazima awe ametengenezwa vizuri na director kwa mujibu wa
  script nzuri iliyotokana na story nzuri.

  Unapozungumzia characters unamaanisha mhusika kwenye mchezo/filamu hiyo, na hapo unaweza
  ku-difine kama ana akili, maarifa or whatever kama mnavyochangia. Hoja yangu hapa unapowazungumzia
  actors ni lazima umsifie director kwa kui-transform script from the written one into the real image. Ndo
  maana mimi huwa nikimuona muigizaji kachemsha kwenye movie yoyote, huwa sikimbilii kumlaumu
  yeye, bali huwa inanionyesha kuwa hicho ndo kipimo/uwezo wa director wa movie husika.

  sijui kama nimeeleweka?
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  3D it is not sad bana, mambo yametofautiana, level of interest pia...
  Prison break was a wonderful series, na naamini kabisa walipotoa Sarah walikua
  hawana mpango wa kumrudisha mpaka baadae walipo change story line kwa sababu
  zao wenyewe... Hio series nimishia Self alipowasaliti jamaa, my matazamo ilitakiwa iishie pale wakai prolong.. i lost interest!
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  WISDOM WEEDS Alolusha this thread swali lake hili hapa

  je ktk prison break ni kina nani unadhani wana akili sana?

  Ina maana katika hao wahusika, yaani tuongelee the content without talking about
  who was responsible or how the played there part in neccessiating those qualities in the
  characters... Mimi nawe na walo interested acknowledge the fact kua asilimia more than 90%
  huwajua actors na nafasi zao na kuwadadafua ile ile BUT do not give a damn about alowezesha..
  Directors, Producers, Investors, Movie/Film related careers kama designers from makeup,
  set, props are never acknowledge but in the first place without them there is no us knowing the Xters..

  Kuhusu kueleweka nashukuru kua umeeleweka na nimekubali LKN bado nataka
  ujibu swali la post...lol.. (If you don't mind...) labda kama hukuipenda na you did not watch!
   
 18. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  I watched it. It's about an engineer, Michael Scofield (Wentworth Miller) installs himself in a prison in order to
  help his brother, Lincoln Burrows(Dominic Purcell).

  Kwa kiasi fulani mimi hupenda kumfagilia mtu anayeinogesha zaidi filamu hasa kwa kutoa challenges (antagonist)
  kwa main character wetu (protagonist) ambazo mara nyingi zinawafanya watazamaji wengi kumchukia.
  Mfano namkubali sana Theodore 'T-Bag' Bagwell (Robert Knepper) na Paul Kellerman (Paul Adelstein)[TABLE="class: cast_list"]
  [TR="class: even"]
  [TD="class: primary_photo"][/TD]
  [TD="class: name"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: cast_list"]
  [TR="class: even"]
  [TD="class: name"][/TD]
  [TD="class: ellipsis"][/TD]
  [TD="class: character"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Nilikupata wapi you stand before hujaeleza just wanted to be sure... now i am.
  Your posts in entertainment says it all... Your are more the form fan than the content.

  Pamoja saana.
   
 20. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sure, there you are!
   
Loading...