Hujaacha(ga) tabia yako ya kuanzia ukurasa wa 10 kusoma kitabu? Uwe unaanzia kwenye "utangulizi" mkuu!Habari kubwa kama hii bila Picha ni sawa na sifuri
Hapana mkuu 🤣🤣Mkuu hii Mara ya pili narudia tena eti we ndio mama mwenyewe?.
Kwa jinsi unavyoipigania ccm,umetushinda hata sisi tuliokuwa vijana Wa TANU youth league.Hapana mkuu 🤣🤣
Kwanini ndugu "kitambi"?🤣
Mtu alipewa sumu tangu anashuka pale uwanja wa ndege kutokea India kutibiwa alionekana kabisa amenyonyoka nywele na ngozi kubabuka ila wabongo tangu wakati huo wakampatia Ukimwi mitandaoniHivi huyu mzee wetu kweli ana moto? Maana nishaona watu wengi kwenye mitandao wakicomment kwamba ana fire. Au ngozi yake ina matatizo kwasababu ya ile sumu ya wakati ule?
Hii sheria mkononi!! Nimecheka km mpuuzi.Kabla hatuja kuonganisha nae inabidi kwanza tukuchukue maelezo kijana. Hakika ni jambo la kheri unataka kufanya la kumuoa Prisca.
Ushamchukulia sheria mkononi (Nyeto) mara ngapi mpaka sasa???
We mdada wewe...!Chakula ya Mwakyembe huyo. Huogopi kunaswa ?Ana umeme shauri yako.
Alisema hivyo?Nilicheka eti Manara analingia ulemavu wake?
Wa kawaida sana aiseeee
Mkuu, mkuu, mkuu naona una jambo hapa unataka kutueleza...Ni jambo jema sana ila Ushauri wangu ni Mmoja tu Kwako mkikubaliana hakikisheni mnapimana sana Afya ( hasa UKIMWI ) tena kwa Kushtukizana na msiaandaeni lini mnaenda ili mpate Majibu yenu sahihi ambayo mkiyapata nitaomba pia mtuletee hapa Wadau ili tuyajue ili tuwapongezeni kwa kuwa salama au tuanze Kulia pengine kwa Mmoja wenu Kukutwa nao nikimaanisha ameshaathirika.
Ame-qualify kupuyanga. Siyo?Naona unatafuta Qualified, na hupendi Unqualified.
Halafu ana gap pale mapaja yanapoanzia panapo sapoti .... Hii maana yake she is switi on bedi. Kwa maelezo zaidi waulize wataalamu.
Ukiwa na IQ nzuri nadhani umeshalijua.Mkuu, mkuu, mkuu naona una jambo hapa unataka kutueleza...
Ishiii ni average brain kabisa..! Nilimsikia siku moja anamuhoji kwa kingereza tangia siku hiyo nikamdharau kabisa.Yaani dada Prisca Kishamba ni BONGE LA MTANZANIA MWENYE KUJITAMBUA.....
Huyu ndugu anawawakilisha YOUNG WOMEN wenye MISIMAMO NA KUJITAMBUA ....
Ndg.Prisca Kishamba anasimama IMARA DHIDI YA MIFUMO DUME tuliyonayo WANAUME.....
Ndg.Prisca Kishamba anafaa kuwa DIWANI ,DAS ama hata DED wa HALMASHAURI.....
Natabiri.......iko siku atakuwa miongoni mwa NAFASI HIZO Aaamin aaaaamin....amini nisemalo.....
Siku akigombea UDIWANI AMA UBUNGE(bora tu awe CCM )nitajitolea kwa MDOMO WANGU ,SAUTI YANGU ,MANENO YANGU NA HATA FEDHA kumsapoti in shaa Allah.....
Keep this message for a future reference!!!!