Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 517
- Thread starter
- #41
Tutapima kwanza boss,ila nataka nifike kisima nione hali ya kisimaChakula ya Mwakyembe huyo. Huogopi kunaswa ?Ana umeme shauri yako.
Tutapima kwanza boss,ila nataka nifike kisima nione hali ya kisimaChakula ya Mwakyembe huyo. Huogopi kunaswa ?Ana umeme shauri yako.
Inaonekana huyo jamaa kuna kitu anakijua. Au ndo Haji Manara?
Mbona mbovu hivi, sasa yule mzee wa madegree, mzee wa mabaka mabaka ndio kakifata nini au anafinyiwa kwa ndani!!

Wenye Akili pana najua wameelewa.
Hivi huyu mzee wetu kweli ana moto? Maana nishaona watu wengi kwenye mitandao wakicomment kwamba ana fire. Au ngozi yake ina matatizo kwasababu ya ile sumu ya wakati ule?Chakula ya Mwakyembe huyo. Huogopi kunaswa ?Ana umeme shauri yako.
Mambo mengi ndio yapi mkuu?Mh,huyu manzii,mbona kafubaa?afu anaonekana ana Mambo mengi kichwani?!?
Anankapua amazing 😜😃😃
Picha tafadhali itanogesha Uzi, au naongopa ndugu yangu?
Kumbe ndio haka! Bila shaka huyo jamaaa ni muha...
Huyo dada mbona kaduna kwa mbele hapo kama ana tango.
Mwambie kwanza Manara akuonyeshe na zile meseji zakeWadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea. Kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.
Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.
Kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.
Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda Dar ambapo ntakutana nae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.
Mungu anitangulie.
si kuna bustani hapo sasa tango linakosekana vipiHuyo dada mbona kaduna kwa mbele hapo kama ana tango.
Mkuu hii Mara ya pili narudia tena eti we ndio mama mwenyewe?.Yaani dada Prisca Kishamba ni BONGE LA MTANZANIA MWENYE KUJITAMBUA.....
Huyu ndugu anawawakilisha YOUNG WOMEN wenye MISIMAMO NA KUJITAMBUA ....
Ndg.Prisca Kishamba anasimama IMARA DHIDI YA MIFUMO DUME tuliyonayo WANAUME.....
Ndg.Prisca Kishamba anafaa kuwa DIWANI ,DAS ama hata DED wa HALMASHAURI.....
Natabiri.......iko siku atakuwa miongoni mwa NAFASI HIZO Aaamin aaaaamin....amini nisemalo.....
Siku akigombea UDIWANI AMA UBUNGE(bora tu awe CCM )nitajitolea kwa MDOMO WANGU ,SAUTI YANGU ,MANENO YANGU NA HATA FEDHA kumsapoti in shaa Allah.....
Keep this message for a future reference!!!!