Prisca Kishamba ni mke wa ndoto yangu

Prisca Kishamba ni mke wa ndoto yangu

Noel wa ruben

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2020
Posts
364
Reaction score
517
Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolewa. Kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.

Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua, dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.

Kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.

Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda Dar ambapo ntakutana nae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu, rai yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpate shemeji na wifi yenu.

Mungu anitangulie.

Picha ya Prisca Kishamba kwa msaada wa google.

officialpriscakishamba-12c8bd75329b5ab45fc8d2d54d2eafcc_hd.jpg
 
Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
Yaani dada Prisca Kishamba ni BONGE LA MTANZANIA MWENYE KUJITAMBUA.....

Huyu ndugu anawawakilisha YOUNG WOMEN wenye MISIMAMO NA KUJITAMBUA ....

Ndg.Prisca Kishamba anasimama IMARA DHIDI YA MIFUMO DUME tuliyonayo WANAUME.....

Ndg.Prisca Kishamba anafaa kuwa DIWANI ,DAS ama hata DED wa HALMASHAURI.....

Natabiri.......iko siku atakuwa miongoni mwa NAFASI HIZO Aaamin aaaaamin....amini nisemalo.....

Siku akigombea UDIWANI AMA UBUNGE(bora tu awe CCM )nitajitolea kwa MDOMO WANGU ,SAUTI YANGU ,MANENO YANGU NA HATA FEDHA kumsapoti in shaa Allah.....

Keep this message for a future reference!!!!
 
Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
Amri ya tisa ya Mungu inasema usitamani mke wa mwenzio!
 
Uhuru wa kujieleza hadi hisia za "mapendo"!Kumbuka:Kama unataka kufunga naye ndoa ujiandae.Usisumbue wadau kwa michango.Gharamia mwenyewe kama ubatizo,arobaini,komunyo n.k vinavyogharamiwa na wahusika wa tukio.😝😝😝😝😝😝
 
Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
Picha tafadhali itanogesha Uzi, au naongopa ndugu yangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom