printer inatoa alarm kuwa NO PAPER PICK UP tatizo ni nini? inashindwa ku print
Kweli niliweka tatizo hilo imenipa jibu nalifanyia kaziGoogle imerahisisha mengi kuwa DIY - do it yourself.
Way forward google. Ukiweka na printer name utajua kwa nini beberu hapendeki uswahilini kwa mafundi uchwara.
Mrejesho itapendeza zaidiKweli niliweka tatizo hilo imenipa jibu nalifanyia kazi