Printa za HiTi P525L

Sandiego

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
1,289
2,076
Nimenunua machine hizi Sasa ninazo 3. Kwa biashara za studio ni nzuri kwasababu zinatoa picha zenye kiwango Sana. Picha haipauki kaza zile za Epson Wala kuchanika. Tatizo hizi mashine baada ya muda Kama miezi miwili au 3 zinaanza kuweka mistari kwenye picha.

Yaani picha inatoka na mistari Kama mitatu au minne. Unashauriwa kusafisha Kwa spirit, unasafisha lakini tatizo linaisha na kujirudia. Sasa mashine ya Sasa inatoa picha zikiwa na mikwaruzo ya madoadoa. Nimetafuta mafundi was hizi mashine sijawapata. Nazipenda lakini zinanisumbua.

Ninaomba msaada Kwa mwenye kujua chochote au mtumiaji tuchangiane mawazo labda Mimi Kuna mahali ninakwama. Pia kama Kuna muuzaji humu nahitaji mashine nyingine +255762161655
hiti_88_d2035_01at_p525l_photo_printer_1472222726000_1276228.jpg
 
Nimenunua machine hizi Sasa ninazo 3. Kwa biashara za studio ni nzuri kwasababu zinatoa picha zenye kiwango Sana. Picha haipauki kaza zile za Epson Wala kuchanika. Tatizo hizi mashine baada ya muda Kama miezi miwili au 3 zinaanza kuweka mistari kwenye picha.

Yaani picha inatoka na mistari Kama mitatu au minne. Unashauriwa kusafisha Kwa spirit, unasafisha lakini tatizo linaisha na kujirudia. Sasa mashine ya Sasa inatoa picha zikiwa na mikwaruzo ya madoadoa. Nimetafuta mafundi was hizi mashine sijawapata. Nazipenda lakini zinanisumbua.

Ninaomba msaada Kwa mwenye kujua chochote au mtumiaji tuchangiane mawazo labda Mimi Kuna mahali ninakwama. Pia kama Kuna muuzaji humu nahitaji mashine nyingine +255762161655View attachment 1646906
Na hicho ndicho kinacho fanya Epson aendelee kuwa baba lao na swala la kupauka picha kwenye Epson hutegemea sana na aina ya karatasi unazo tumia ,

Zipo karatasi ambazo ni kweli ukiprint picha ikikaa mwezi mmoja tu imepauka lakini zipo karatazi hazipauki hata miaka
 
Epson printer ukiwa umeshafanya kazi muda mrefu, unapoteza wateja sana kutokana na ubora wa picha. Picha ni kumbukumbu, tena za muda mrefu. Hawa HiTi walikuja na suluhisho zuri, tatizo ni hizi changamoto tu.
 
Nlisha kujibu hapo tatizo ni karatasi n aina ya wino unazo refill.
 
Back
Top Bottom