Principal wa social science (udom) ni fisadi

KADEBE

Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Hajalipa hela ya registration kwa wafanyakazi wake .wenzake wameshalipa yeye anaogopa kwani anabembeleza kamkataba kake.Kwa nini hakujipanga kimaisha kabla hajastafu?
 
Prof.Ferdinard Davis Mwamfupe aliyepata kunifundisha UDSM,kwa taarifa nilizo nazo ndiye Principal wa College ya Humanities & Social Sciences,UDOM.
Ni vema mleta uzi afuatilie kuweza kujua sababu za kuchelewa kulipwa pesa anazolalamikia kabla ya kuamua kuleta tuhuma za jumla dhidi ya Mwamfupe.
 
prof.mwamfupe ni dean,rubagumya ndo principal labda kama wamewabadilisha mkuu!
 
Nashukuru kwa taarifa.
Kufuatia masahihisho hayo ni wazi kuwa Prof.Mwamfupe hahusiki na sakata husika.

Inaelekea utakua mstari Wa mbele kumtetea Mwamfupe siku profile lake likishushwa hapa jamvini.
 
Ndiyo ni yule mzee anaitwa Prof Rubagumya yaani ni mbinafsi na mwoga sana kuliko maprincipal wa college nyingine hapa Udom
 
Hajalipa hela ya registration kwa wafanyakazi wake .wenzake wameshalipa yeye anaogopa kwani anabembeleza kamkataba kake.Kwa nini hakujipanga kimaisha kabla hajastafu?
Unafikiri ni kwanini anaogopa?kama ni malipo halali kwanini aogope kulipa?hayo malipo yana uhusiano gani na mkataba wake!?
 
Back
Top Bottom