Prince William kabebwa

Mimi nadhani badala ya kazi hii kufanywa na watu wa kawaida, watu wa level ya mawaziri, makatibu wakuu na familia zao wangekuwa ndo wabebaji wa watu hawa, ili next time iwaume kudhalilishwa hivyo na kuwa makini kwenye matumizi ya rasilimali za umma na kuwekeza kwenye maeneo yenye tija
 
Hilo ni wazo zuri lakini sijuwi kama wahusika watalifanyia kazi.
 
Na baadae tutatuma kwaya ikamuimbie malkia wetu kule London. Mazee wa pande ile mpo hapo?
 
hii inaweza ikawa inaukweli ndani yake ,wewe utamwambiaje binadmu mwenzio afanya mapenzi na mbwa hawa ni shetani kweli lol
hawa wamejitahidi sana kuiboresha dunia lakini nakuapia kaka hawa ndio watakaoiangamiza dunia.kwanza wana tamaa sana hawataki nchi na binaadamu wengine wawe na mali za asili,halafu wanahamasisha kutembea uchi wanalala na wanyama tofauti tofauti sio m'mbwa pekee.siamini kama ni kweli hili lakini kama ni kweli kuhusiana na ufreemason hilo ni tatizo jingine.lingine hawaogopi kuua watu milioni moja ili wapate kamali kadogo sana.pia ni wahusika wa mifarakano karibu tote ya duniani.
 
Kiboko yao alikua ni huyu!
amin_13.jpg

idi_amin_0.jpg
Huyu kweli alikuwa Jemedari wa Majemedari ...Nguli
 
Back
Top Bottom