Prince William kabebwa

duh!! masikini ni masikini..cheki lilivyokaa kama lifalme la dunia!
 
kama ni mimi lazima nimwangushe, naona huyo jamaa wa mbele hajaridhika kabisa moyoni mwake ahalfu dogo anachekelea juu tu
 
Heri hawa yawezekana wako tiyari kumbeba tuu, kuna wengine wapo tiyari kuua ndugu zao weusi ili hao weupe wapate chochote eg nyamongo
 
Heri hawa yawezekana wako tiyari kumbeba tuu, kuna wengine wapo tiyari kuua ndugu zao weusi ili hao weupe wapate chochote eg nyamongo
na hivi ndivyo ilivyo kwa watawala wengi wa kiafrica kwa sasa!
 
nimeamini maneno ya dr.alonifundisha develepment pespectives kuwa miafrica ni 'ass likers' too sad
 
mimi naamini duniani tunapambana na kongopeana misikitini na makanisani kuhusu shetani, wakati kumbe shetani tumtafutaye ni mzungu.hawa sio watu hawa.
hii inaweza ikawa inaukweli ndani yake ,wewe utamwambiaje binadmu mwenzio afanya mapenzi na mbwa hawa ni shetani kweli lol
 

​

Official Title ya vyeo vyake ....

His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji DoctorIdi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular. Idi Amin at swearing-in ceremony, October 02, 1975.

==
Hii ya Doctor inanikumbusha Dr wetu mmoja ... Dr, Dr, Dr of 5 Degrees!

... Hivi kwanini watu ambao hawajasoma au wenye elimu ndogo / kidigrii kimoja ... huwa wanapenda sana kuitwa Madokta?!
.​
 
Mkuu Askari Kanzu fananisha na hii Picha ya hapo chini ni sawasawa tu hakuna tofauti Prince Charles kalipiza kisasi........

 
Last edited by a moderator:
Mambo mengine ya kushangaza sana, yaani kwenye karne ya 21 bado kuna watu wana hamu ya kuwa watumwa. sasa nimeamini utumwa unajirudia taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…