Prince Katenga II: Ujio wa John Pombe Joseph Magufuli

Prince Katenga II: Ujio wa John Pombe Joseph Magufuli

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
30,057
Reaction score
34,212
Dr. Prince Katega II: WAZUNGU WANAMWOGOPA SANA MAGUFULI
December 2, 2019

Mwana diaspora Dr. Katega II anatuletea gumzo alilolisikia akiwa mtanzania mwenye makaazi ulaya ya Kaskazini juu ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya 5 katika utawala wake ndani ya miaka minne ya mwanzo toka kuanza kuiongoza Tanzania.

Prince Katega anasema Mungu amemleta Rais John Pombe Joseph Magufuli kukomesha miaka 2500 ya Mwafrika kutawaliwa kama kifikra na mzungu.

Analinganisha ujio wa Magufuli kwa waafrika kama tukio la nadra na maalum katika historia ya mwanadamu, na hili huja mara chache ktk karne nyingi kwa watu/mtu maalum kama huyu aliyeteremshwa na Mungu na watu hao hujulikana kama Indigo Children.




Prince Katega II anatumia 'Lugha ya Mbingu' numerology yaani sayansi ya namba ktk kutumia kutafsiri tarakimu za namba (10; 15; 8: 14 = J : O : H : N) zilizobainishwa katika ukurasa wa 5255 wa kitabu kikubwa kuliko vyote chenye maelfu ya kurasa kuelezea ujio huu wa kipekee.

Source: Jamvi online TV

Prince Katega II - Managing Director - The African World Business Associates
Ph.D in African World History, Watanzania Birmingham Association UK
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Ruling Party.
 
Year 2014 A.D

Prince Katega II : Africa is still in slavery:

Berlin Conference 1884 The countries represented at the time included Austria-Hungary, Belgium, Denmark, France, Germany, Great Britain, Italy, the Netherlands, Portugal, Russia, Spain, Sweden-Norway (unified from 1814-1905), Turkey, and the United States of America.

Source : Prince Katega II
 
December 8, 2019
Mwanza, Tanzania

Consultant wa ujenzi wa meli Mwanza ktk Ziwa Victoria - "Azungumzia miujiza Mikubwa iliyotendeka"


Source: J WEE info
 
1426269_IMG_20160921_154542.jpeg.jpg

Vipi kuhusu ujio wa Mandumilakuwili Maprofesa na wasomi njaa wa You tube..
 
Deceber 9, 2019
Mwanza, Tanzania

Mbwembwe za Msafara kiwanja cha Kirumba CCM siku ya kuadhimisha miaka 58 Uhuru wa Tanganyika

 
Prince Katega II : Wajerumani na Waingereza watulipe fidia
 
Hili jamaa ni bwege tu.msomi gani unasifia vitu vya kipuuzi
 
Back
Top Bottom