Prince Harry amevuliwa nafasi zake katika familia ya Kifalme

Prince Harry Hana amani na Bibi yake Elizabeth Mana anajua kua alihusika na kifo Cha mama yake princes Diana ndo Mana atakakuishi mbali na ufalme ashajua kua Hana chake kaona ajitafutie mapema life lake na mkewe.
Unaanzaje kuishi na mtu aliyekuulia mama ako mzazi

Harry ana akili sana, hilo li William halina akili asee kisa ufalme

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapa jamaa kashaona mpaka nije kushika ufalme sio leo wacha nikajienjoy.
Ila huyu queen ni roho mbaya tuu. Anashindwaje ku abdicate thrown na kumuachia mwanae charles?

Alafu huku africa mtu akikaa madarakani miaka 20 wanaanza fyoko fyoko
 
Unaanzaje kuishi na mtu aliyekuulia mama ako mzazi

Harry ana akili sana, hilo li William halina akili asee kisa ufalme

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wee unaongea tuu kuwa mfamle sio kitoto yaani dunia nzima yako wewe...acheni utani.

Harry kashaona he will never ascend to the thrown ndio maana kaona akale papuchi
 
Hapa jamaa kashaona mpaka nije kushika ufalme sio leo wacha nikajienjoy.
Ila huyu queen ni roho mbaya tuu. Anashindwaje ku abdicate thrown na kumuachia mwanae charles?

Alafu huku africa mtu akikaa madarakani miaka 20 wanaanza fyoko fyoko
Yule tararira charles ufalme wapi na wapi full gambe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Prince Harry na mke wake Meghan kuihakikishia familia ya Kifalme kuwa hawatarajii kurudi Uingereza na kuendelea na kazi za Kifalme. Moja ya majukumu ya Harry ilikua mlezi wa mchezo wa Rugby.

Prince Harry na Meghan wametangaza kutarajia mtoto wao wa pili, habari hii waliitoa siku ya Valentine. Kwasasa wanaishi California wakiwa jirani na Oprah Winfrey.

View attachment 1707131

Heartbreak for Prince Harry as he is stripped of role as patron of England Rugby Union and Rugby League
Habari za Ufalme zimepitwa na wakati.

Ufalme uondolewe.
 
Habari za Ufalme zimepitwa na wakati.

Ufalme uondolewe.
Uingereza ni moja ya nchi chache zinazoendeleza utawala wa kifalme, hii familia imekua kama alama ya nchi na huvutia watalii wengi kila mwaka.
 
Hata hivyo una kazi gani kwani ??

Ndio maana kina Harry wamesepa, kifuatacho itakuwa choice tu kwa wanafamilia kusepa.
Wafaransa walipofanya mapinduzi, Mfalme wa Uingereza walifanya maongezi na wabunge na kukubaliana kuwa Waziri Mkuu atakaesimamia shughuli za serikali atachaguliwawna wananchi kwa kura na Mfalme atabaki kuwa Kiongozi wa nchi.
 
Kuna pressure kubwa kutoka familia ya kifalme Harry na Meghan waachane na wao ndiyo kwanza wanaongeza watoto
Dogo bado anakumbukumbu za marehemu mama yake aliyeuawa mwishoni mwa miaka ya 90, prince Diana; nadhani anasikia HASIRA sana kwamba sababu ya kifo cha mamaye ni hayo hayo mambo ya uroyo royo; bora kua HURU ili alee watoto wake bila bugudha; wasiwasi wangu, Mosaid au hao M16 hawawezi kufanya yale yale waliofanya kwa marehemu mama yake? This time wakamuua mkewe Mighan? Just thinking a load
 
Kuna watu fedha si kila kitu kwao, kuwa huru ndio muhimu sana.
Umesema kweli; kuna siku Bob Marley aliwahi kusema hivi, "some people are too poor in such a way that the only thing they have is money" Hadi leo hua najiuliza, neno UMASIKINI kwa Bob Marley lilikua na maana gani hasa!? Hu ni mwaka wangu wa 20 bado najiuliza, au upweke na kutokua huru?
 
Hembu mtueleze ilikuaje mama mtu akauawaaa
Huyu dogo baba yake anaitwa Prince Charles, sina hakika ni mtoto wa ngapi kwa malkia Elizaberth, huyu Charles alioa mwanamke mmoja anaitwa Diana, walizaa watoto kadhaa akiwepo na huyu dogo aliyetukusanya hapa leo; Charles na Diana walizinguana so wakaachana (sina hakika kama walipeana taraka cause ni Wanglican kwa maana ya imani )Price Diana akatokewa na mtoto wa Don mmoja wa Kimisry aliyekua anaishi zake Ufaransa; Waingereza waka mind, kwamba mrembo wao kaolewa na Mwarabu, kwa maana ya taratibu na mila/desturi zao, mtoto wake atakua na HAKI zote za kuja kua mfalme wa UK, zipo kumbukumbu kwamba tayari Diana alikua ameisha pigwa mimba, Waingereza wakaona isiwe tabu, aliuawa yule mama na jamaa yake, i think was mwaka 1998 kama sikosei.
 
Huujui utamu wa mama wewe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hamna ishu ya mama wala nini...kwanza mama yake mwenyewe nae alikuwa mpuuzi tuu.....kuishi kwenye familia ya kifalme kuna taratibu zake sasa wee ukiona unabanwa achia ngazi nenda huko kwa hao wa kawaida.....ata mie ningekuwa malkia ningemdedisha tuu anatia aibu jina la ufalme...tena of all people unaenda gegedwa na mwarabu !!!

Wee huyo harry kaona hapa sitakuwa mfalme na pia kuna restrictions nyingi basi bora niwe huru.

Mbona sister wa queen nae kuna wakati alijja kuwa hawezi kutawala akaamua kupata furaha kwa commoner kitu ambacho hakiruhusiwi.

Serikali ikamwagiza queen kuwa mwambie sista achague kama anatakaaa priveledges za kifalme aachane na mpenzi wake ama aolewe na mpenzi wake lakini priveldges zote hamna. Bidada kwa tamaa za priveldges kamtosa jamaa lakini mwishoe akaishia kuwa alcoholic tuu....
 
Dogo bado anakumbukumbu za marehemu mama yake aliyeuawa mwishoni mwa miaka ya 90, prince Diana; nadhani anasikia HASIRA sana kwamba sababu ya kifo cha mamaye ni hayo hayo mambo ya uroyo royo; bora kua HURU ili alee watoto wake bila bugudha; wasiwasi wangu, Mosaid au hao M16 hawawezi kufanya yale yale waliofanya kwa marehemu mama yake? This time wakamuua mkewe Mighan? Just thinking a load
Hawawezi mdau maana huyo jamaa ndio mrithi wa kile kiti bibi hana jinsi ila anachoshwa tu na jamaa anavyojiweka....
Kipenzi cha bibi yule
 
Back
Top Bottom