Huyu naye si aende kule kijijini ajue moja...bado yupo kwenye hizi siasa?
Ni bora hata angezungumzia operation vua gamba ya CCM na atupe tathmini yake kuliko kuzungumzia asiyoyajua wala hasiyomuhusu.
Mnafiki huyu hana lolote, aende zake akamshauri Mukama namna ya kufanya siasa.
Huyu jamaa tunamfahamu sisi tunaotokea Mleba Rubya na siasa alizotufanyia na akatutelekeza wanamsalimia Ilambika.
Kipindi flani nilisafiri na Bagenda kwenda kwenye moja ya mikutano ya Wanaharakati wa umoja wa Afrika (Mkutano uliotengeneza Azimio la Tripoli-Libya).. Tulizungumza mengi lakini nakumbuka tukiwa kwenye hoteli moja Zurich - Swiss aliniambia "Siasa za Tanzania hazihitaji akili nyingi..Mimi nina watu wangu nikiwalenga wananipa hela;Maisha yanaenda.. Kwanza mimi mwenyewe mgonjwa..... (Sikuchunguza ni ugonjwa gani alimaanisha) kuna hoja ukiibua hata ukimfuata mtu anakupa hela".
From there nilim dump Bagenda Prince totally!.
Itanichukua miaka ya kuzimu kujadili hoja za huyu (Old man)
huyo siyo mjanja. Wajanja wanavua gamba na kuvaa gwanda
we, usicheze na njaa na ukichukulia kwa sasa migomba kule Rubya inaharibiwa na ugonjwa wa 'mnyauko'.Huyu naye si aende kule kijijini ajue moja...bado yupo kwenye hizi siasa?