Prince Alwaheed na mkewe fullu uzungu

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,149
79,303
walid.jpg i​




Nimependa sana picha hii! Mbali ya ukweli kuwa wahusika wanatoka Uarabuni yaani Makao Makuu (kitovu) ya Uislam (Makkah na Madinah) hamna cha mtandio wala hijabb wakati huku tunajibaraguza kwa kupigania maadali sijui nini sijui nanii! Cha ajabu hata mama Salma mwenyewe amesahau maadili ya mama wa Kiislam! Ama kweli tuna waumini madhubuti!
 


Nimependa sana picha hii! Mbali ya ukweli kuwa wahusika wanatoka Uarabuni yaani Makao Makuu ya Uslam hamna cha mtandio wala hijabb wakati huku tunapigania maadali sijui nini sijui nanii! Cha ajabu hata mama Salma mwenyewe amesahau maadili ya mama wa Kiislam! Ama kweli tuna waumini madhubuti!
Mkuu ongea taratibu utasikiwa! Hapo kwenye nyekundu iliyokolea huwa anavaa wakati wa kampeni ili kama vipi kama igunga si unakumbuka yule mkuu wa wilaya mkatoliki kule igunga aliyewahadaa wasiomfaham?
 
Uislamu na Uarabu ni vitu viwili tofauti. Ndio sababu mtume aliwaonya waarabu kuwa wataenda motoni. Pia mwenyezi mungu aliwapa taarifa waarabu kuwa wasidhani kwakuwa mtume ametoka katika koo za kiarabu basi waarabu ndio bora kwani kwani kwa mmungu mbora wao ni yule MCHAMUNGU.

Hivyo waarabu wana mila zao na uislamu una mila zake.

Mbona husemi wazungu na mila zao hata kama baadhi ya mila zao zinaenda tofauti namafundisho yenu ya Biblia mfano ushoga???
 
FaizaFoxy upo hapo?

Kwanza amekosea huyo sio Prince Al Waheed, hakuna Prince nimjuae mwenye jina hilo. Labda kamaanisha Prince Walid Bin Talal? (au wengine huandika Al Waleed).

Aweke sawa facts kwanza kabla sija "comment".
 
Kutovaa ushungi na midume kuoana bora nini? We unaona ya waharabu tu ya yule shoga wa uk wala usemi !
 
Kutovaa ushungi na midume kuoana bora nini? We unaona ya waharabu tu ya yule shoga wa uk wala usemi !
mbona hata huyu prince ni bwabwa huna habari uliza wanaofanya kazi Loliondo wakwambie huwa wanatua na watu wa aina gani kufanya ufirauni wao hapa nchini? mpwawe anasota rumande maisha huko UK! tatizo lenu ndg Waislam wa hapa TZ tuko Wanafki! Huyo jamaa hana cha Sharia banking wala babake nani! mahela yake yoote yako ng'ambo na hawa jamaa ni Wahhabi
 
Kwanza amekosea huyo sio Prince Al Waheed, hakuna Prince nimjuae mwenye jina hilo. Labda kamaanisha Prince Walid Bin Talal? (au wengine huandika Al Waleed).

Aweke sawa facts kwanza kabla sija "comment".

Fanya yote. Mweke sawa halafu komenti.
 
Back
Top Bottom