Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,842
- 103,700
Nimependa sana picha hii! Mbali ya ukweli kuwa wahusika wanatoka Uarabuni yaani Makao Makuu (kitovu) ya Uislam (Makkah na Madinah) hamna cha mtandio wala hijabb wakati huku tunajibaraguza kwa kupigania maadali sijui nini sijui nanii! Cha ajabu hata mama Salma mwenyewe amesahau maadili ya mama wa Kiislam! Ama kweli tuna waumini madhubuti!