Pride Comes Before the Fall: CHADEMA inabidi wajipange upya

Kwamba we ukitoa maoni ni raia mwingine akitoa ni interlectual wa chadema? Tafakari ujijudge mwenyewe!
Kumbe unaona kuitwa intellectual ( rekebisha spelling yako) ni tusi? Si heri mimi niliyekuita intellectual kuliko aliyeniita "idiot".

Amandla...
 
Mambo yasiwe mengi kwa sasa tusherehekee ushindi wa mama kupita bila kupingwa, mwaka 2020 alipita waziri mkuu na uchaguzi wote uliporwa, mwaka huu mama anapita na tunajua maandalizi ya matokeo kule maporini yanaendelea tuone wabunge wangapi pia watapita bila kupingwa! Mpinzani wa mama yupo gerezani, na mie ni kati ya raia milioni 60 haya ni mawazo yangu na naheshimu yako pia! Ila I can’t be fooled forever hata kama sina power wala authority
 
Naamini Lissu hatakaa sana ndani maana lengo la CCM la kutokuwa na strong mpinzani limetimia. Kwa sababu hiyo hawana sababu ya kuendelea kumshikilia.
CDM wamejikaanga wenyewe hadharani niliwahi mwambia jamaa yangu ushindi wa TAL ndiyo anguko la CDM ila hakutaka kunisikia sasa hivi tusubirie wanachama wao wakijiengua na kwenda kujiunga kwenye vyama vingine.

CCM 5 tena.
 
Tayari hapo kinaenda kuungana na wenzao CUF na NCCR.
 
The difference is lissu is more of direct action guy, direct confortation guy. Problem is the gov and associates are not ready for such kind of politics
So they will do everything to stop him
 
Haiwezekani vyama vyote vikawa na mtazamo sawa. Miaka mingi ingepotea kusubiri jambo kama hilo kutokea.
Sio “vyote” literally! Statistically, the majority rules. 75% ya vyama vikikubaliana, kwa mfano, kazi imeisha!
 
The difference is lissu is more of direct action guy, direct confortation guy. Problem is the gov and associates are not ready for such kind of politics
So they will do everything to stop him
Hiki kiingereza umekiandika "kwa kiswahili"
 
Takataka hii tena uchafu
 
Takataka hii tena uchafu
Kwa sababu unaiona kuwa ni takataka na uchafu nimekuweka kwenye ignore list ili nisione majibu na michango yako. Itapendeza zaidi kama na wewe hautaona ninacho andika.
Kwaheri.

Amandla...
 
Naona wameanza kuwafukuza kwenye vikao G55. Hatua inayofuata ni kutumia nguvu kuwatoa kwenye vikao. Badala ya kujipanga kukabiliana na CCM wao wanahangaika na mtu mmoja. Hawaoni irony ya kumfukuza mtu kwa kutokubaliana na msimamo wa chama chao wakati wanawaenzi watu ambao walitumia muda mwingi kupinga msimamo wa chama chao hicho hicho!

Amandla...
 
Hujui Dunia ,tuliza iyo brain kwanza
 
Foolish.
 
unaongelea CCM naona.
 
Chadema hawataki kukubali kuwa wamekosea, wao kila muda wanajiona wapo sahihi na wanajiona maendeleo ya Tanzania hayawezekani bila wao.

Wanachama wao wa hapa JF wameenda mbali ety Tz itawekwa kwenye vikwazo vya kiuchumi 😂 guys WTF is this
Kwa akili yako unadhani tume huru ya uchaguzi itakuja-kuja tu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…