Prevent isp disconnection.

Prevent isp disconnection.

EMPTY

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
978
Reaction score
1,196
Morning members?
Kuna a "shareware" nikimaanisha trial software, ambayo inafanya hiyo kazi ya kuprevent disconnection. But wanatoa 30 days trial & na wanauza kwa $15 Dollars.

Google hiyo software kwa jina la "Bullet Proof Connection".
Nafikiri nimefahamika!!
 
isp akitaka kuku disconect hamna software ya kuzuia labda uhack server,

Mi naona zinasaidia kutokudisconect pale watu wengi wanapokua connected then ambaye yupo idle bila data transfer anakua disconected

Itest kwa modem ya zantel cdma ikiwa na sh 0 kila baada ya dk 10 unakuwa disconected
 
Hii inafaa kwa wale wanaotaka kuprevent disconnection wakati wanatumia vya bure (free internet), nilikusudia hivyo. Mkuu chief-mkwawa!
 
Last edited by a moderator:
Not yet, mkuu Chief-Mkwawa. BUT, KAMA USHASOMA REVIEW YAKE UTAFAHAMU HOW IT WORKS.
 
Hamna k2 hapa maana nimejaribu kwa airtel jana saa 11.45 alfajil but kufika saa 12 imejisconnect kama kawa
 
Back
Top Bottom