Preta Unaweza Hii?

Mods naomba mtoe hio picha yangu sasa hivi! This is violation of JF rules...
Hairusiwi kuweka picha ya member bila ruhusa!
 
Ulikuwa Sudan ya kusini hapo?
 
Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!
 
Hii lazima ni Somalia maana huku kwingine hakuna biashara ya wanawake kubeba AK 47 au kufanya kazi kama nao ni askari jeshi.
 
Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!

khaa.....nimekumiss ujue....

khaa.....nimekumiss ujue....

Preta anasema huwezi funga mfuniko wa radiator unasema ume mmiss!!! Khaaa...
(Usijali nipo kukugombanisha na PJ, Ana case na mimi) lol
 
Jamani msitukomazishie binti yetu!...hiyo ina tofauti gani na U'pota?
Preta nimjuaye mimi, hata kifuniko cha radiator kikilegea anamDIPU fundi wake aje amkazie!
Hata KUPIMA OILI huwa anasikiaga uvivu!

PJ hii ya KUPIMA OILI inahitaji new thread khaaa!
 
Kwani hilo chuma analivuta? Si kaliegesha mikononi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…