Preta Trans

Dah tena hii ni part 2 dah big Up Preta....
 
Huo ni mkoko wa Preta?
That's Cool mjasiriamali wangu..
 
Investment huwa inaanza hivyo...mwishowe tutasikia anamiliki reli ya Kati na bandari ya Daslam

haaah haaah halafu katupia zab. 23 Bwana ndie mchungaji wangu.......

Pretaaaaaa Big up mama!
 
huu usafiri niliuona pande za mwenge mwaka jana nilipokuja kwa harusi ya dada yetu
 
Bodaboda zangu cjazitupia kitu cha Mtaly, ngoja niwah kwa fundi rangi..
 
ha ha ha....mkuu...niko njiani kwenda Boeing.....kuweka order.....


SAFARI NJEMA MY DEAR!

Ukifika utujuze!
Na hata ukirudi usiache kupitia kwenu kule Kericho na uwasalimu sana!
 
Da Preta usininyime kazi plz.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…