Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,886
pretair!!
ndio maana naipenda JF....vichwa humu humu....sina haja tena ya kupasua kichwa kutafuta jina....
trip ya kwanza wewe ni bure kwenda unakotaka.....
pretair!!
SAFARI NJEMA MY DEAR!
Ukifika utujuze!
Na hata ukirudi usiache kupitia kwenu kule Kericho na uwasalimu sana!
Naomba kazi ya udereva Preta!
preta niatafute nikuwekee mikono kichwani na kifuani kwa ajili ya baraka zangu kwenye biashara zako..nina mkono wa pesa(lokasa ya mbongo).
plz usinisahau na mm...japo Cabin Crew
ayaaaa.....wewe wewe.....mweee.....
ha ha ha....mkuu...niko njiani kwenda Boeing.....kuweka order.....
Kwa nini unamiliki bajaji wakati sio saizi yako?
hahhhahah!....
ujasiriamali at work....!
pretair ngaipendaaa saaanaaaaa mshikiiiii....!
ulimsiiiimaaaa lakiiiniiii?
namaaatiiioooooooo!
upi ndio saizi yangu shemeji (kwa Sweetlady)