Press release ya wahadhiri wa vyuo vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Press release ya wahadhiri wa vyuo vikuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyangalo, Jul 1, 2010.

 1. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wahadhiri wa vyou vikuu wametoa taarifa maalumu kwa umma kuhusu madai yao. Angalia hicho kiambatanisho.

  Tunawaomba wanafunzi wao wawasaidie kugoma kwa sababu wenyewe hawawezi wanaogopa.

  View attachment press release mwananchi.pdf
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mh! Hapa sina la kusema kwa sababu tunaowategemea kutetea haki nao wanaogopa
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wanabembeleza au wanadai haki yao???
   
 4. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  namna ilivyoandikwa ni kwa minajili ya kufahamisha umma kuhusu madai yao yawezekana kuna wamwaga sumu wa uongo wameishaeleza ndivyo sivyo na kama watataka kugoma basi uma uwe umeishatambua madai yao hasa ni yapi.
   
 5. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani watoto wetu wagome kwa sababu waalimu wao waoga? Kama hao waalimu ni waoga basi hawafai kuwafundisha wanetu, maana vijana wetu wanapata influence kutoka kwao ya vitu vingi pamoja na ujasiri.
   
 6. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Umoja ni nguvu kwani kuna ubaya gani wanafunzi kuwasaidia wahaziri wao? kwa sababu wanaoasilika ni wanafunzi kama wahaziri wataamua kuanzisha mgomo baridi.
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Lyangalo, kabla ya kuendelea na mjadala naomba kujua maana ya neno 'wahaziri' kama ulivyolitumia.
   
 8. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wadai wanaogopa halafu vijana wetu wagome kwa niaba yao. Sijapata kusikia uoga huo
   
 9. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hapa tu "Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete" mimi hoi!
   
 10. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Tuwasaidieni jamani kwani ni wenzetu wanaweza kutusaidia pia
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wahadhiri sasa na wao wanakimbilia kwenye press release... sijui akina siye tufanyeje

  DN
   
 12. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi R.J Assey siyo "Phd Holder"?

  Mbona kamtambulisha "Rais Dkt .." na yeye hajajitambulisha kwa "hiyo Dkt"?

  Press Release ime-flow vizuri: ila pale mwisho "imepoteza mtiririko" esp baada ya ku-quote "Rais Dkt..."
   
 13. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hawahitaji msaada maana kama wangetaka kwanza wangesema wanataka kuchukua hatua gani na wanahitaji msaada gani, if at all thats necessary.
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tuwasaidieje?
   
Loading...