Press release; onyo

Habari nzuri sana tu. Ila tafadhali ukirudisha jibu la salamu hii tayari umetiwa hatiani!

Usingejibu kwanza wewe.... Anyway.... Za W'end?

Ni kweli bwana masalamu tumieni PM, lakini kuendekeza blabla kwenye thread ni kuongeza post zisizo na maana.

Kama hii... afu si ndo tunazipenda

Faini tunaiwakilisha kwenye akaunti ipi? au tunalipaje nataka kujua

Leta kwangu

Swali la Nyongeza muheshimiwa.... Adhabu inaendelea au ndo deadline tayari
 
ni kweli mwaya chapa nalo
by the way hivi humu kuna chat room?? japo huwa sina mda mwingi kuchat ila napenda kujua ipo pande zipi.
 
Back
Top Bottom