Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Habari yake Chapa Nalo Jr...:clap2:
Ni kweli bwana masalamu tumieni PM, lakini kuendekeza blabla kwenye thread ni kuongeza post zisizo na maana.Habari nzuri sana tu. Ila tafadhali ukirudisha jibu la salamu hii tayari umetiwa hatiani!
Habari nzuri sana tu. Ila tafadhali ukirudisha jibu la salamu hii tayari umetiwa hatiani!
Habari yake Chat Room
peleka jukwaa jukwaa la utani... maana when it comes to enforement ya uyasemayo one would question the process... so it suits more to be a jokeHili si onyo la kwanza ila msisitizo.
(1) Ni marufuku kugeuza au kupotosha mtiririko wa thread na kugeuza kuwa chumba cha kusalimiana au kupiga soga(chat room) sisizohusiana na hoja ya thread, unaruhusiwa kusalimia mara moja tu na sio kuendelea kuchat for some pages. Atakaekiuka onyo hili atakuwa ametenda kosa la jinai. Sio kosa la jinai kuchati kwa PM
(A) Adhabu/sentence; Kupigwa ban siku saba au faini ya $ 9.5 kwa kila thread iliyo nje ya mada inayozidi kiwango kinachobalika, yaani thread moja tu kusalimiana,
(B) Ukirudia kosa, faini ya $ 10.5 kwa kila thread inayozidi moja iliyo nje ya mada pamoja na ban ya siku 14
Note; The amount of fine is subject to change without prior notice( the notice may be available threreafter).
Isued by Chapa Nalo Jr
Mods-Kivuli
Signed; 3th Feb 2011.
Kama we hupendi weka onyo kwenye thread unazoanzisha...kuna wengine haiwasumbui kwasababu na wenyewe ni washiriki!Inawezekana sababu mojawapo ya wewe kuchukia ni vile watu wanasalimiana wao kwa wao na wewe husalimiwi!!Natumaini sijakukwaza![/QUOTE]
No! umenikwaza lakini sina la kufanya