Press conference ya ACT-Tanzania

Kumbe kuunda chama cha siasa dili, ngoja na mimi nianzishe cha kwangu then nivute ruzuku kiulaini.Jina tu sasa.....
 
huku ni kuhamisha tu attention ya masuala ya msingi yanayoendelea nchini kama vile katiba n.k.
 
kwa hiyo kigoma sio tanzania? nyie wachaga wa chadema ni wabaguzi sana
Ni nchi lakini ni mwisho wa Reli.............kama Wachaga ni wabaguzi na Waha ni wabishi sana ndio maana wanaishia kuwa wasaliti
 
ccm, cdm, cuf, udp, nccr-mageuzi, dp, tlp, ppt maendeleo, jahazi asilia..............................................vya kati kati hapo nimevisahau......now act Tanzania........naamini nacho ntakisahau.
 

Kumbe ndiyo maana hawa Lumumba bk 7 wanakishadadia!!!!...nilikuwa nashangaa kulikoni???...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…