Press conference ya ACT-Tanzania

Mbowe ajiandae kurudi kwenye bashara zake za kilaghai chadema lazima ipotezwe kwenye siasa za tanzania tuliwambia wamuombe msamaha zitto wakajifanya wajanja sasa fimbo wanazo.

Haha Eti aombwe radhi mzee Wa PM7 akafie mbele
 
Huwa sishabikii siasa lkn hapa ninalo neno, HATA KAMA SIIJUI SAYANSI YA SIASA ikiwa chama cha siasa hakisemi wazi kinataka kushika Dola hicho ni
chama au NGO?
 
kina alama ya nyota kama bendera ya marekani. marekani ni nchi ya kiislamu mkuu

Ok, ila nijuavyo Marekani nyota inawakilisha vijinchi vinavyoiunda hiyo nchi, mkuu ninyi alama ya nyota ina-symbolize nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…