walisema nchi kwanza ,then wameanzisha chama,niwakumbushe tu kwa watu msiomjua Zitto Kabwe vizuri,huyo jamaa kwa kujenga hoja zenye mashiko kwa taifa yupo vizuri na elimu yupo vizuri bt kibaya zaidi hata kwenye unafiki yupo fizuri zaidi,mjifunze kwa yaliyowakuta wazee kwa vijana waliokuwa wanamwamini Zitto Kabwe,vijana kma Juliana ShonzaMtela MwampambaChagulani AdamsGrayson Veronica NyakarunguMwl Deo KisanduHabib Mchange,wakalishana yamini na kuchanjwa chale kwa kina Kalumanzira ili wasisalitiane, na wengine hawa kwa miaka mingi wameaminishwa na wakaamini kwamba Zitto ndo kiongozi bora na mzalendo bt waulize yalipowakuta ya kuwakuta Kina mtela na Shonza na story zao za Zitto kutaka kunyweshwa sumu aliwakana akadai hawajui wala hajawahi kukutana nao mahala popote pale,kwenye kufukuzwa CDM ndo alikuwa anaongoza wafukuzwe,so nikagundua lengo la Zitto ni kuvuruga CDM na si kuijenga,akishaona kijana flani walau anauwezo mkubwa wa kujenga hoja atamwandama na kutafta urafiki nae then anammezesha sumu kwamba chama ni cha ukanda ,udini na nk,then kijana bila kutafakari anakuwa loud speaker ya Zitto then wakimtimua ndo amekwisha hivyo kisiasa na kukiyumbisha chama
ha ha ha mtajuta mwaka huu ACT lazima imng'oe lema arusha mjini
Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.
ha ha ha mtajuta mwaka huu ACT lazima imng'oe lema arusha mjini
Kumtoa Lema Arusha mtangoja sana,kma Mmemdanganya Mwigamba aisaliti CDM ili ajiunge na ACT then agombee Arusha ili kumtoa lema imekula kwenu lema atakuwa mbunge mpaka ukomo wa katiba ya nchi na chama ,take it 4m me
Hahahaaaaaaaaaaaa jamaa unatamani kwenda ulaya kwa bajaj teh teh teh embu tupia hata kamkutano kamoko hapo A-town under Alliance for Coward and Traitors hahahaaaha ha kwa taarifa yako ACT inaungwa mkono sana na wanaarusha, vurugu za chadema zimesababisha uchumi wa arusha kudidimia sana, wafanyabiashara wote wanaichukia sana chadema ACT ndio chaguo lao
Uchumi wa draft na bao teh teh teh...ACT ndio mkombozi wa uchumi wa arusha
Hahahaaaaaaaaaaaa jamaa unatamani kwenda ulaya kwa bajaj teh teh teh embu tupia hata kamkutano kamoko hapo A-town under Alliance for Coward and Traitors hahahaaa
Karibu Tz chama cha mabadiliko na uwazi wa wasaliti, mmeingia na mguu mbaya bada ya jaribio lenu kuibomoa CHADEMA kufa kibudu, wa TZ tunautambua usaliti na ULAFI wenu, Mmekuja kuvuruga upinzan na mabadiliko ya kwel na hamtaweza!!
bendera ina nyota kama ya msikiti
Uchumi wa draft na bao teh teh teh...
Kumbe unapiga porojo tu hapa teh teh teh alafu unasema wanakijua labda mje kutaliimikutano tutafanya sana hapi arusha hamna wa kututisha , mwambie jambazi lenu la magari na genge lake la wahuni tunakuja kuling'oa arusha. act ni mkombozi wa wana arusha
Teh teh teh vp draft na bao limejenga viwanda na kunyanyua uchumi wa Pwani,agrrrrrrrrrrrrr nimesahau na chumaulete...huo huo unaoujua , chadema wamesababisha vijana wa arusha wawe majambazi
Hiki chama hakifiki hata Mwaka mmoja kitakuwa chali na baada ya 2015 lazima wagawane Mbao kwa Ugomvi wa Ruzuku.
Mbowe ajiandae kurudi kwenye bashara zake za kilaghai chadema lazima ipotezwe kwenye siasa za tanzania tuliwambia wamuombe msamaha zitto wakajifanya wajanja sasa fimbo wanazo.
Anachimba mtaro atakosa bukujero..THE BIG SHOW umeshindwa kutoa majibu?
ha ha kwa taarifa yako ACT inaungwa mkono sana na wanaarusha, vurugu za chadema zimesababisha uchumi wa arusha kudidimia sana, wafanyabiashara wote wanaichukia sana chadema ACT ndio chaguo lao