Press conference ya ACT-Tanzania

Siku hizi ajira ngumu sana, vijana wanatafuta ajira kupitia njia mbali mbali, kwa sasa ni kupitia SIASA, utakuta vijana wenye nguvu na Taaluma zao wanazunguka huku na huko wakitafuta pesa nyingi hata zisizo salaama. Leo hii watu wanaanzisha CHAMA harafu wanatokelezea na misemo ya ajabu eti Taifa kwanza chama baadaye, sasa si watuambie tuu hiyo ni NGO ya kuingiza kipato. au watuambie wao ni kikundi cha wanaharakati.

Naona vijana wanatoka jasho kuendeleza sijui ni Chama au NGO, bila kutuambia wanapata wapi pesa za kuzunguka kujenga hicho Chama/NGO.

Njooni mtuambie nyie niwakina nani, nani anawapa pesa na wanaowapa pesa wanazipata wapi, na kwa nini mmekubali kutumika, hivi nyinyi vijana tunawajua maadili yenu leo mnataka kutuambia ndio wazalendo. Kweli uzalendo wa Tanzania unatetewa na wahuni, walevi, vijana wasio na heshima duu Uzalendo wa Tanzania una mambo.

Naombeni sana vijana kabla ya kushabikia mambo mumuogope MUngu aliye hai. Nawaombea vijana Mungu awape kazi na mfanye kwa bidii huo ndio Uzalendo. Imenibidi kusema kwa sababu nchi yangu naipenda, na vijana wetu ndiyo wamechagua maisha ya kijanja janja. Mungu utusaidie
 
hivi umeelewa ulichokiandika? kama wasome wenyewe wa saut ndo nyie basi kazi tunayo huko tuendako kufikia maendeleo ya kweli.

 

Utamwitaje mhuni wakati yeye kabaka wa miaka nane yule jamaa mwingine alibaka wa miaka tisa? Au wote ni wahuni?
 
Nani asiekujua Katibu Muenezi wa Alliance for Cowards and Traitors,acha kukimbia kivuli chako ungekuwa unajitambua gesi isingetoka Ntwala njomba,kelele mingi leo unachimba mitaro ya kupitisha mabomba ya gesi sasa mimi na wewe na njaa kali..
 
Last edited by a moderator:
Nani asiekujua Katibu Muenezi wa Alliance for Cowards and Traitors,acha kukimbia kivuli chako ungekuwa unajitambua gesi isingetoka Ntwala njomba,kelele mingi leo unachimba mitaro ya kupitisha mabomba ya gesi sasa mimi na wewe na njaa kali..

eti katibu muenezi wa ADC,vipi mbona imetokea mnakiogopa sana hiko chama??

au ndicho kinakuja kuua moja kwa moja lile genge la wachaga pale ufipa??


wapuuz kama wewe ndio mnaweza kutumikishwa na wanasiasa,mimi najitambua siwez kuwa msukule kama ww
 
Viroboto wa Zitto na Ma inzi ya MACCM mnatafta cheap popularity sana why?eti wanashusha bendera za CDM,kwanini hawaanzishi matawi yao?shenzi
 
walisema nchi kwanza ,then wameanzisha chama,niwakumbushe tu kwa watu msiomjua Zitto Kabwe vizuri,huyo jamaa kwa kujenga hoja zenye mashiko kwa taifa yupo vizuri na elimu yupo vizuri bt kibaya zaidi hata kwenye unafiki yupo fizuri zaidi,mjifunze kwa yaliyowakuta wazee kwa vijana waliokuwa wanamwamini Zitto Kabwe,vijana kma Juliana ShonzaMtela MwampambaChagulani AdamsGrayson Veronica NyakarunguMwl Deo KisanduHabib Mchange,wakalishana yamini na kuchanjwa chale kwa kina Kalumanzira ili wasisalitiane, na wengine hawa kwa miaka mingi wameaminishwa na wakaamini kwamba Zitto ndo kiongozi bora na mzalendo bt waulize yalipowakuta ya kuwakuta Kina mtela na Shonza na story zao za Zitto kutaka kunyweshwa sumu aliwakana akadai hawajui wala hajawahi kukutana nao mahala popote pale,kwenye kufukuzwa CDM ndo alikuwa anaongoza wafukuzwe,so nikagundua lengo la Zitto ni kuvuruga CDM na si kuijenga,akishaona kijana flani walau anauwezo mkubwa wa kujenga hoja atamwandama na kutafta urafiki nae then anammezesha sumu kwamba chama ni cha ukanda ,udini na nk,then kijana bila kutafakari anakuwa loud speaker ya Zitto then wakimtimua ndo amekwisha hivyo kisiasa na kukiyumbisha chama
 
Its hard jamani kutengeneza chama kama CHADEMA ...Watu wame sacrifice sana...Hawa jamaa nawaambia ni ngoma ya kitoto tu....wala haikeshi....Kutengeneza chama imara inahitaji muda na umakini.........Kilichotokea chadema ni jambo la kawaida kama changamoto za ukuaji wa chama
 
Nani kakiogopa chama cha kina Mohamed Said,kazi kwa serekali kuwa makini na bokoharam hao,hapa nani msukule we siulibana gesi haitoki mbona imetoka na mbaya zaidi umeshaota kibiongo kwa kuchimba mitaro njaa zitakuua Njomba...
 
eti katibu muenezi wa ADC,vipi mbona imetokea mnakiogopa sana hiko chama??

au ndicho kinakuja kuua moja kwa moja lile genge la wachaga pale ufipa??


wapuuz kama wewe ndio mnaweza kutumikishwa na wanasiasa,mimi najitambua siwez kuwa msukule kama ww

Mkuu..the big show...kwa umakini kabisa hausikitiki na haya yanayotokea>? hasa ukizingatia kwamba tunatarajia hivi vyama viwe imara na kuwatetea wananchi...kuikumbusha na kuibana serikali? unapoona vyama vinaanzishwa kupambana na vyama vya upinzani..unalichukuliaje hilo?
 
Nani kakiogopa chama cha kina Mohamed Said,kazi kwa serekali kuwa makini na bokoharam hao,hapa nani msukule we siulibana gesi haitoki mbona imetoka na mbaya zaidi umeshaota kibiongo kwa kuchimba mitaro njaa zitakuua Njomba...

chadema kama kimekufa,kimekufa tuh

na hatujakiua sisi waislam,mmekiua nyinyi wenyewe wachaga,

msitafute wa kufa nae,mmekufa na mnasubiri kuzikwa,vita nyenu na waislam mnazid kujimaliza zaid,mshindi tutakuwa sisi sio nyinyi
 
kwa hiyo na ile bendera ya marekani yenye nyota inaashiria uislamu sio?

Bendera ya USA ni kweli inanyota bt sio moja kama nyota ya ACT,Bendera ya Marekani ina nyota nyingi then USA ni nchi si chama cha siasa,Nyota moja inaamaninsha dini no matter Islamic o Zionism and Christianity ,kumbuka nyota iliyowaongoza Mama Jusi wale wakati wa kuzaliwa Yesu Kristo miaka ileeeeeeeee!




:cell:
 
chadema kama kimekufa,kimekufa tuh

na hatujakiua sisi waislam,mmekiua nyinyi wenyewe wachaga,

msitafute wa kufa nae,mmekufa na mnasubiri kuzikwa,vita nyenu na waislam mnazid kujimaliza zaid,mshindi tutakuwa sisi sio nyinyi
Kimekufa kwako na ACT yenu ila ni hai na kitaendelea kudunda Tanzania nzima mwanzo mwisho,we kufa na njaa zako na tena usijitafutie umaarufu kwa kusema sisi Waislam sema mimi, nawashkaji zangu kibwena waislamu hawana akili za kizombi kama zenu,ushindi upi ule wa Mtwara mpaka leo unaishi kama fisi..
 
Tatizo la kina kitila na @ Zitto wanadhani nguzo mojawapo ya "usomi" ni kuwa na jina la kingereza
 
Last edited by a moderator:
THE BIG SHOW bado nasubiri majibu au bado hujaona maswali yng?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…