Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Alifanya Nape, kapata uenezi, kafanya makonda akapata ukuu wa wilaya na sasa ni huyu pimbi. Mtasikia naye kapewa mabaki kabla ya oktoba. Wote wamepata kupitia mgongo wa matusi kwa Lowassa, na Lowassa hajafanya kitu chochote. Kitendo cha Lowassa kuwaacha hawa watoto waendelee kumdhihaki bila kuchukua hatua kunatia shaka kwamba Lowassa anaogopa akichukua hatua za kisherai yatajitokeza mambo mengi ambayo hataki watanzania tuyasikie kuhusu yeye. Kama Lowassa hana uwoga wowote, inatakiwa achukue hatua za kisheria mara moja. Tuhuma ya ujenzi wa jengo la AICC, ambalo lilijengwa miaka 70 wakati Lowasa alikuwa shule nadhani siyo sahihi. Labda kama kulikuwa na extension ya jengo hilo wakati Lowassa alipokuwa mkurungenzi, wengine hatufahamu.
 
THE MAN IS CLEAN AMEFANYA KAZI KWA MIAKA MINGI ZAIDI YA 40 KUWA NA MALI SIO AJABU / haya huyo riz ana umri gani amefanya kwa miaka mingapi? na ANA MALI KIASI GANI?
 
Mbona unalia na wananchi?si mna vikao halali vya chama chenu? kateni hilo jina huko juu kwa juu, mnajidhalilisha kuhangaika na mtu ambaye yeye kakaa kimya tu, mnawayawaya tu kama mmekula maharage ya wapi sijui!!
 
magamba yanaruka na kukanyagana...raha sana vita vya panzi furaha ya ukawa......aiseee mpigeni chini huyo fisadii ...mzee hoza endeleza mapigo itisha press conference nyingine
Mkuu huu mgogoro unanipa raha sana ndani ya mtima wangu. Hakika Lowasa ataiua CCM mwaka huu.
 
Isije ikawa oooh huyu naye katumwa na Lowassa aje abalancr!!! Lakini isijekuwa walomtuma wanamtaka kummaliza kisha waseme oooh Lowassa...ninachoshangaa Hoza ni nani nchi hadi kupewa audience ya namna hii! Watu wanakufa Iyovu.. Watu wanataabika mtaani huyu bwana naye anajiita mtu safi ilihalu anawrweseka tu. Nchi hii kweli tuko taabani. JK said 70% waTz fata upepo huu ni ushahidi.
 
Mnamuogopa kiasi hiki?!! Kuna nini mnaficha ninyi watu?
 

mbavu zangu!!!
 

Mleta mada kapimwe na nahisi we sio mzima
 
Hii Nape style itawapoteza vijana wengi:
Nilitegemea huyo alietoa tuhuma angeenda kufungua kesi ili Edo afikishwe mahakamani,kuliko kutukana watu ili uwe maarufu
Mimi ni mwanachama wa CCM ninaelipia kadi yangu bila kulipiwa,nilijiunga nikiwa chuokikuu 2006(UDSM)
Ningependa kujua nani CCM hatoi Rushwa katika kugombea,sasa hivi imekua fashion kila uchaguz ni Rushwa,mpaka huu wa shirikisho la vyuo vikuu juz vijana wanashindana kutoa Rushwa..au mbunge gani wa JMT ajatoa Rushwa katika uchaguzi(sina maana kuhalalisha)...nakumbuka kuna uchaguzi bavicha ulivulugwa sababu ya Rushwa...
Vijana Tubadilike Tusiwe wanafiki
Binafsi ningependa Mwiguru awe Rais na Zitto awe waziri mkuu wake,ila naishia kutamani,na sitamtukana MTU,maana JF kuna vijana wanapenda matusi kama wapo Instagram
 
Last edited by a moderator:
Kumbe? Hivi mahakama za nchi hii zina makengeza? Ooopps, kumbe hata hajawahi fikishwa huko? Oh hata kushitakiwa? Au hata kuhojiwa na Polisi?

Tuna miezi 5 migumu mbele yetu, hebu tusafishe masikio!
 

Mtanunulika sana, mwaka huu
 
Lowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.

nahisi anazungumzia ili jengo jipya la mikutano mwalimu nyerere
 

Ww n nani???? Jiandae kuomba uraia nchi jirani kama makonda na wajinga wengine nani msafi huko ccm ama mmekubali kuwapa UKAWA????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…