salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 654
Mimi sioni tatizo hata kama Lowassa ni fisadi; atupatie orodha ya wanachama wenzie ambao sio mafisadi kwanzaLowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.
Anaefahamu kwa wazazi wake Hoza aje,ninataka kupeleka posa.
tunashukulu saana kwa kukutambuaa
Wanachama wengine kuwa mafisadi haimpi haki Lowasa naye kuwa fisadi, labda kama nia yako ni kutuaminisha kwamba kweli ccm ni chama cha mafisadi.Mimi sioni tatizo hata kama Lowassa ni fisadi; atupatie orodha ya wanachama wenzie ambao sio mafisadi kwanza
Wanachama wengine kuwa mafisadi haimpi haki Lowasa naye kuwa fisadi, labda kama nia yako ni kutuaminisha kwamba kweli ccm ni chama cha mafisadi.
WATANZANIA WANATAKIWA KUMPUUZA EDWARD LOWASSA
...................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Mwisho upo msemo usemo MAMBO HAYAENDI VIBAYA KWA SABABU WATU WABAYA WANAYAFANYA LA HASHA ILA NI KWA SABABU WATU WAZURI WAMEKAA KIMYA...Kwa niaba ya watu wazuri wote wanaoitakia mema nchii hii Nimeamua kuvunja ukimya dhiidi ya watu wabaya wanaotaka kulipeleka taifa hili sehemu mbaya
Asanteni kwa,kunisikiliza
Nawatakia kazi njema.
Comrade Francis Heri Hoza Mjumbe kamati ya utekelezaji ya balaza la UVCCM mkoa wa morogoro Na Mwenyekiti mstaafu wa shirikisho la ELimu ya juu la wanachama wa CCM Mkoa wa morogoro.
Unataka kumpeleka Ikulu ndiko akachapie kazi yake ya ufisadi?! Nilifikiri sehemu stahiki ya fisadi yeyote ni jela!Tunamtaka huyo ambaye sio fisadi ili tujipange kumpa kura ya uraisi; afadhali fisadi atakayechapa kazi kuliko fisadi atakayekaa ikulu akichapa usingizi kusubiri migao
Ndiyo maana ka-act kamewekwa standby.Hii nyumba ya jirani kwa huu moto unaowaka, mpaka ifike mwezi wa nane itakuwa imebaki majivu.
Lowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.