Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,058
- 2,637
Lowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.
Na ile elf hamsini 50,000 uliyopewa na Bashe uirudishe, mjinga wewe.......
TUYAPUUZE HAYA NA CHUKI TU NA HAYANA MANTIKI YOYOTE jr
Vijana wa lowasa mmemwagika..na vijana wa kikwete na kund lake mmemwagika sisi CHADEMA na UKAWA twafuraia vita vya panz ushind ulikuwa 60% sasa mkiendelea iv mtaambulia vumbi.sjui km ccm itafksha wbunge 100 mwaka uu
vipi mshirika wanamzoboa sio mbaya utampisha kwenye cheo chako cha uyatollah actAcheni kutumika kumchafua mtu. Inakuaje pamoja na kujua maovu yote haya bado CCM imekuwa ikimpa nafasi mbalimbali za kiungozi ndani na nje ya bunge tena akiteuliwa na wakubwa wa nchi?. Yawezekani hawa wapuuzi wakahici wanaitengeneza na kuijenga CCM kumbe mnaibomoa.
Wakati ACT inawapumulia shingoni
Huyu Kijana sio Riziki.