commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
huyu mleta uzi ndio watanzania tunaowahitaji katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu,watu wanaothubutu kujitoa mhanga kusema ukweli bila kuogopa mungu akujalie wasije team lowasa wakakutimua nyumbani kama walivyomtimua mzee kasoriDuh!! Mbona kama jamaa kavuta shuka asubuhi, Kwani kuna vyeo vilivyobaki? Nape, Makonda and the like walicheza karata zao wakati zilikuwa zinahitajika. Sasa huyu jamaa anaibuka wakati kumeshakucha
Huyu ninani? Naye anatafuta ukuu wa wilaya? Mbona Kikwete kabakiza miezi Sita tu?
BACK TANGANYIKA
woote ccm mna laana ya njaa,afadhali huyu kaikataa kuiendekeza njaa na kujitoa hadharaniBila Edward Lowassa CCM Mtaangukia Pua; Mpuuzeni Huyu Kijana anasumbuliwa na Njaa ya Kufa Mtu. Hakuna la Maana aliloliandika tofauti na Kupigia Debe Kundi lake huko CCM>
wewe na wenzako kundi la njaa nani kawaroga,kwani mna uhaki,ka gani kwamba lowasa akipitishwa na ccm ndio ameukwaa urais,hiki ni kipindi tofauti na ccm inapitia njia kilichopitia chama cha KANU kule kenya kwa hiyo jianadeni kujutia madhambi yenu.:lol::lol::lol::lol::lol:sijui amekula maharage ya wapi huyu hoza!nilikuwa namuheshimu san lakini sasa simuheshimu teeeenaaaa amelewa lewa tu hovyo kuja hapa na kuandika upuuzi wake kwa lowasa watanzania hatukubali wenye akili kama hoza ni kama mtoto mdogo aliyevishwa pampasi hoza nenda zakoooo tuachie lowasa wetuuuu hatupo kichama sasa tunaangalia mtu anayetufaa watanzania sasa ccm mtuache na lowasa sasa aaaahhhh!!! huu ni wakati wa lowasaaaaaaaa na mabadilikooooooo ya kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
Mkuu katika hao wote wa hovyo kabisa hawafai hata kwa mboga tu.Summarize!!!!!story ndeefuuuuu.
Lowasa na Slaaa ndo watu ambao tukichanganya mawazo yao tutapa kitu kimoja kizuri bila kuangalia ushabiki.mi sina chama nina mgombea .kati ya lowasa na slaaa mi nachagua lowasa.but slaaa na mtu tofauti na lowasa bora slaaa jembe letu