Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Joined
Jan 2, 2015
Posts
87
Reaction score
34
watanzania wanatakiwa kumpuuza edward lowassa
 

Attachments

  • 1429008174963.jpg
    32.2 KB · Views: 26,542
Yapo majengo yameendelea kujengwa hasa nyumba za kuishi watu.

Lowasa alihusika na ufisadi ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano AICC?! Haya si yalijengwa Lowasa akiwa labda primary school? CCM msiruhusu wajinga kama huyu hoza kuvuruga watu. Lowasa atuhumiwe kwa haki si uzandiki kama huu.
 
Kama mlijua yote hayo ilikuwaje bado ni mbunge, mwenyekiti wa kamati nyeti bungeni, na hata nafasi zote alizozishika baada ya kula hela za AICC? Japo mimi najua AICC ilijengwa wakati wa EAST AFRICA COMMUNITY Lowasa akiwa bado kijana na alikuwa umoja wa bijana na TANU. Lowasa amekuwa mkurugenzi na sio msamizi wa ujenzi wa jengo la AICC.
Kwa vile alitoka hapo na kuwa waziri hadi waziri mkuu huo unaoongea ni upuuzi ma unastahili kupuuzwa.
Issue ya afya ni siri ya mtu na daktari wake tupe ukweli na sio kuropoka. Mrema alipoambiwa anaumwa aliweka vyeti wazi wewe weka vya Lowasa. Mbona JK alianguka majukwaani wakati wa kampeni lakini hadi sasa ni raisi?? Mkikosa cha kuongea muwe mnakaa kimya. Watanzania mnao onhea nao sio wale wa 1954, hilo mlijue kabisa.
Naomba niweke angalizo hapa mimi sio mwana Ccm na wala sijawahi kuwa mwana Ccm na sitokaa niwe mwana Ccm kutokana na unafiki wenu, ila imenilazimu kuandika haya kupinga huu ujinga wa kitoto mnaoanza kuwaletea watu wenye akili.
 
magamba yanaruka na kukanyagana...raha sana vita vya panzi furaha ya ukawa......aiseee mpigeni chini huyo fisadii ...mzee hoza endeleza mapigo itisha press conference nyingine
 
LOWASSA NDIO CHAGUO LETU WANYONGE NA NDILO CHAGUO LA MUNGU/ hatulaghaiki hatupandiki chuki ngo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…